PLEASE NAITAJI MNIKWAMUE KWA HILI NAHITAJI SOFTWARE INAITWA SMART SYNC,
ni kwa ajili ya kufanyia buckup kwenye mashine yangu kwenda server ni. please na kama kuna mtu anayosoft ware engine anaweza nisaidia kwa shughuri hiyo ya bukup.
Natanguliza heshima.