Back to services writing services/huduma za kuandikiwa maandiko

Back to services writing services/huduma za kuandikiwa maandiko

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
802
Baada ya heka heka za uchaguzi kupita hasa huku Tz bara, maisha ya mapambano kimaendeleo yanaendelea kwa kasi sana, ukizingatia tunakwenda kumaliza mwaka 2015.

Ewe Mtanzania endelea;



  • Kubuni na kuanzisha miradi;
  • Endelea kuboresha miradi yako na kuipanua zaidi;

  • Rasimisha biashara au mradi wako;

    Hivyo tupo kwa ajili yako katika kukutayarishia maandiko ya;

  • Michanganuo ya biashara (business plans/proposals)
  • Maandiko ya miradi ya kuombea mikopo/ruzuku au kusimamia miradi

  • M&E report
  • Maandiko ya tafiti za kiuchumi na kijamii (sio za kitaaluma)
  • Profile mbalimbali
  • Katiba za vikundi, taasisi na kampuni
Na mengineyo mengi yanayo hitaji kuandikwa kwa utaalamu na muda mzuri.

Wasiliana nasi kwa andiko lolote unalohitaji kimkakati.

Gharama zetu ni nafuu sana tu, tunajadili kwanza tunafikia maelewano, tunafanya. Tupo mbeya mjini.

Kazi zetu ni kwa yeyote ndani na nje ya nchi; utahudumiwa maana sasa dunia ni kijiji

Call/message; 0687072066 au 0754734009
Email: kimiconsultancy@gmail.com
Blog: kimi development consult limited
 
Back
Top Bottom