OBD_Mwenyewe
Member
- Jan 8, 2018
- 14
- 9
Mkuu nicheki 0786140534 au 0766326628Habari, mimi ni mwanafunzi niliye hitimu kidato cha nne mwaka 2015, kiukweli matokea yangu hayaridhishi, nilikuwa nataka nikarue mtihani mwaka huu ili nisafishe cheti, je naruhusiwa? Pia nataka nikimaliza kurudia mtihani nikasomee uhasibu, kama naruhusiwa, je ni-basic kwenye masomo gani? Naomben msaada kwa ushauri tu. Asante
Mmh!Mkuu nicheki 0786140534 au 0766326628
Ukipata kituo nijulisheHabari, mimi ni mwanafunzi niliye hitimu kidato cha nne mwaka 2015, kiukweli matokeo yangu hayaridhishi, nilikuwa nataka nikarudie mtihani mwaka huu ili nisafishe cheti, je naruhusiwa?
Pia nataka nikimaliza kurudia mtihani nikasomee uhasibu, kama naruhusiwa, je ni-basic kwenye masomo gani? Naombeni msaada kwa ushauri tu. Asanteni
Mkuu nicheki kwa hiyo namba, hutojuta ktk maisha yakoUkipata kituo nijulishe
Mbona umeguna ndugu??Mmh!
Y?Wewe ni wa kike au wa kiume
nlitoraka ama nlitoroka au nlitoka?Sor nilitoraka online but nimekuelewa
ameona unammwandiko wa kike
NIlitaka kujua tu kwanza kabla sijakushauri
Nenda british school wapo mwenge ITVHabari, mimi ni mwanafunzi niliye hitimu kidato cha nne mwaka 2015, kiukweli matokeo yangu hayaridhishi, nilikuwa nataka nikarudie mtihani mwaka huu ili nisafishe cheti, je naruhusiwa?
Pia nataka nikimaliza kurudia mtihani nikasomee uhasibu, kama naruhusiwa, je ni-basic kwenye masomo gani? Naombeni msaada kwa ushauri tu. Asanteni
MeNIlitaka kujua tu kwanza kabla sijakushauri
Aaa komaaa