Back from Honeymoon

Kumbe una mlongo mwingine rafiki? hahahahah lol! huyu nilikuwa sijamsikia...haya ngoja tusubiri ufafanuzi kuhusu Chiviga
humu nina walongo wengi balaa. huyo moto2012 mara ya mwisho alitutambulisha wifi yetu Preta, sijui wanaendelea? maana naona preta mwenyewe anao wengi. mlongo mwingine ni Kipipi, huyu alikuwa anafukuziwa na Erickb52 baada ya mimi kumkataa, ila inaonyesha hata Kipipi naye kamkataa....... huyu Peramiho haimtaki kwa kweli
 
Last edited by a moderator:

hahahahahah! Chiviga ni ndugu yetu, I hope dada yake atakuwa Liteleku! Ondoa shaka Preta bado ni wifi yako, si unajua tena kitu kizuri hupendwa? Hao hawanipi Presha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…