BACK FROM BAN:Niliwamiss wana Chit Chat!

kule inabidi uwe mpole sana ingawa sa nyingine unatamani kurudisha kombora ila unamchunia tu mhusika na kujifanya kama mjinga vile.

sister,shida kubwa ni definition ya tusi au lugha isiyo faa ni so subjective!
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma,
Naona macho ya Invisible yananitumbulia hapa...gusa unate!!!
Kama ingekuwa lengo kufunza wengine,ule utaratibu wa kutangaza BAN ungeendelea!

Siamini kam akweli ulikuwa una-ban. naona unatuzuga tu mpaka p[ale utakapotuelezea kinagaubaga yepi hasa yalikusokomeza kule.......
 
Last edited by a moderator:
ukome sijui kwanini wamekurudisha tena kwani ungesota kama mwenziio Baba V samahani ila karibu tena best
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…