Bachelor ya Adult Education and Community Development

Bachelor ya Adult Education and Community Development

Magidu

Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
52
Reaction score
87
Nawasalimu,

Rafiki yangu ni mwalimu ambaye yupo kazini. Alienda kujiendeleza kimasomo kwa kusoma degree tajwa hapo juu.

Amehitimu mwaka jana hivyo anaomba kufahamu ni eneo gani anaweza kumwomba mkurugenzi ili abadilishiwe kazi nje ya ualimu?
 
Mwambie asubir kama atapata kuwa mwl mkuu au mkuu wa shule au

kuwa afisa elimu watu wazima wilaya kama nafasi ipo wazi ila kama ipo wazi lazima athibitishwe na Tamisemi.

Tofauti na hapo atabaki kufundisha shuleni tu.
 
Changamoto hivi vyuo havipo kila wilaya.

Hapa anatakiwa aombe kwa nan cz inaweza iwe nje ya mamlaka ya DED
Na changamoto nyingine vyuo hivyo viko wizara nyingine kuhamia huko ni mpaka uombe kwa katibu mkuu wizarani
 
Back
Top Bottom