JaphetJacob
Senior Member
- Dec 11, 2015
- 106
- 121
Naomba mwenye uelewa na hii course ni nzuri au......
Na vipi upatikanaji wa ajira?
Na vipi upatikanaji wa ajira?
Ajira yake ikoje?Hiyo Kwa Tz ipo IFM tu.... Kwa chuo cha ITA ipo tax and custom management
IFM its a bit tough shule yake nenda kwanza kakomae mkuu upate hiyo degree mengine utajua mbele kwa mbele au unataka kubadili gia?Ajira yake ikoje?
Itakuwa hivyo mkuu maana huwez kujiajiri kukusanya kodiHao watu wa Tax management mm najua wanafanya kazi TRA tu!
Hahaha kweli aseeItakuwa hivyo mkuu maana huwez kujiajiri kukusanya kodi
atakuwa tax consultItakuwa hivyo mkuu maana huwez kujiajiri kukusanya kodi
Kwa ushauri wangu kama unaplan kujiajiri angalia kitu ambacho kina uwigo mpana wa kufanya kazi, sio kwamba nakukatisha tamaa ila kuna kazi nyingine kama ajira serikalini hamna unapata kigugumizi kidogo.Jaribu pia kuulizia watu waliosoma field hiyo uone wameajirikaje. Sijaelewa kama tax consult ni private employment na ili uwe unatakiwa kuwa na vigezo gani kama kuna kujiregister mahali nk. Kiukweli suala la kukusanya kodo limekaa kiserikali zaidi na sio kiprivateatakuwa tax consult
auditing firm jeKwa ushauri wangu kama unaplan kujiajiri angalia kitu ambacho kina uwigo mpana wa kufanya kazi, sio kwamba nakukatisha tamaa ila kuna kazi nyingine kama ajira serikalini hamna unapata kigugumizi kidogo.Jaribu pia kuulizia watu waliosoma field hiyo uone wameajirikaje. Sijaelewa kama tax consult ni private employment na ili uwe unatakiwa kuwa na vigezo gani kama kuna kujiregister mahali nk. Kiukweli suala la kukusanya kodo limekaa kiserikali zaidi na sio kiprivate
vizuri ni kuielewa kozi kwa ufasaha kabisa kabla ya kuisoma na uwe umeipendaauditing firm je
yeahKuna possibility za kupata mkopo kwa hii course wadau? Msaada plz