Bachelor of Science in Nurse Anasthesia

Bachelor of Science in Nurse Anasthesia

Vee lovie

Member
Joined
Jul 31, 2021
Posts
74
Reaction score
115
Hi.. naombeni ushauri kuhusiana na hii course ya Anasthesia kwa nurse wa diploma anaetaka ku’ specialize bachelor ya Anasthesia. Kwa upande wa soko la ajira na mengineyo. Asanten
 
Iko vizuri. Na inasaidia kwa Nurses wasiopenda kazi nyingi.

Maana kazi yako inakuwa kupiga Anesthesia kwa wateja wa CS na kusepa.

Ila kama una moyo mwepesi hata kuchinja kuku tu unapata wenge hutaweza.
 
Asante, ngoja nikapambane nayo
 
Back
Top Bottom