Bachelor of Science in mechatronics engineering

Bachelor of Science in mechatronics engineering

Mike Moe

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
421
Reaction score
484
Habari zenu wana jamii africa, naomba ufafanuzi juu ya hii course ya Bachelor of science in mechatronics engineering kwa wataalamu wa mambo hayo, wahitimu wa course hiyo hata wale ambao bado wanaendelea kusoma, nataka kufahamu chuo bora cha kwenda kusoma course hiyo kwa mtu anaehitaji kwenda, soko la ajira kwa hapa nchini kwetu liko vipi kwa wahitimu
Pia connection yake katika kujiendeleza na Masters degree hadi PhD
Naomba kuwasilisha
 
Habari zenu wana jamii africa, naomba ufafanuzi juu ya hii course ya Bachelor of science in mechatronics engineering kwa wataalamu wa mambo hayo, wahitimu wa course hiyo hata wale ambao bado wanaendelea kusoma, nataka kufahamu chuo bora cha kwenda kusoma course hiyo kwa mtu anaehitaji kwenda, soko la ajira kwa hapa nchini kwetu liko vipi kwa wahitimu
Pia connection yake katika kujiendeleza na Masters degree hadi PhD
Naomba kuwasilisha

Unakuwa fundi umeme wa hizi baiskeli za umeme na pikipiki
 
Apa kwetu bongo haina miaka mingi sana ,nadhani miaka ya 2021 ndo ilianza kwa chuo kama Arusha tech ATC, na DMI (kwa kumbukumbu zangu) japo diploma yake ilianzaga nyuma kidogo na MUST ndo wanatoa. Baada ya apo nmeona udsm Nao wanatoa maana walikua wametangaza nafasi za assistant lecturers kwenye iyo fani.

Tuje sasa ni kazi zipi unaeza fanya , mechatronics kwa lugha nyepesi ji Muunganiko wa mechanical+ electronics+computer+ control system ivyo vyote wamevi- compact kuzalishaha iyo fani.
Kwaiyo ukisoma iyo fani na kuielewa unaweza fanya kazi za automation kama viwandani, migodini, (kwa apa kwenu Tz) lakina kwa wenzetu walio endelea wana uwanja mkubwa sana kama issues za autonomous vehicles , robotics n.k
Kwenye vyuo vyetu apa tz niko na ufaham kidogo na viwili Arusha tech, na DMI ,,udsm sijaifuatilia coz nadhan ineanza mwaka huu au au jana (kama nitakua cjakosea)
Chaguo la kwanza ni ATC, why
1. Swala la practical
Wale jamaa wana maabara ambayo imefaziliwa na south Korea ,ambayo inazidi kuboresha siku adi siku, licha ya ivyo wana baadhi ya module zinazifundisha na lecturers kutoka vyuo kama soul university na Hanyang pia. Kama ujuavyo miongon mwa nchi ambazo znafanya vzur katika automation basi nao wapo.
2. Ukiachana na iyo mechatronics lab pia wanazo mechanical workshop amabozo ni semi automatic kama lathe machine na milling machine, bending machn na vkolombwezo vngne watu wa mech wantakusaidia kuvujua vngine😊 AMBAOZO NI ACTIVE.

3. Japo sio kwa muhimu, wana workshop ya welding and metal fabrication ambayo ww kama engineer ajye itakusaidia kwenye issues za casting (japo sand casting) ila itakupa mwanga kwa aina nyingne znazo tumika uko duniani. Kwaiyo kama utadhanilia kua engineer kwel bhasi utatoka ukiwa vzur(ila uamue😄)
4. Kwakua tayari washaanza since 2021 kuna vtu watakua wamebiresha compere na wale walio anza iv karibuni.

Vipi kuhusu DMI na udsm
Utofauti wa vyuo viwil ni kwenye swala la mazingira ya practical hiki chuo cha bahari hawaja ji equipped sana kama atc .
 
Back
Top Bottom