Wakuu natumaini hamjambo mnaendelea na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku......
Naomba mwenye uelewa na kozi tajwa hapo juu na chuo kinachotoa hiyo kozi kwa ngazi ya shahada anisaidie.....
Natanguliza shukurani...