Nassy Muller
Member
- Sep 30, 2016
- 85
- 20
Utasoma kozi mbili. Kwenye kwenye hiyo PGM yako.Wakuu napenda kuuliza hii kozii iko vp?coz nimeapply third round
Na nikipangiwa ntaenda ku deal nann nikimalizaa na vp soko lake la Ajira
Koz gan na koz brooIla mm Nimesoma PGM nimeonaa nina vigezo vya kusoma ndo nkaijazaa je ipojee
Y koz mbiliiUtasoma kozi mbili. Kwenye kwenye hiyo PGM yako.
Ndio syllabus ilivyo. Jiandae kupiga physics na mathematics. Utasoma masomo yasiyo pungua 12 kila mwakaKoz gan na koz broo
Ahaa sawaaa kk jee nikimalizaa itakuajee vp ina sokoo na ntakuja kuwa nanNdio syllabus ilivyo. Jiandae kupiga physics na mathematics. Utasoma masomo yasiyo pungua 12 kila mwaka
uko wrong mkuu,hyo general n chemistry n vitu vi2 tofauti.ila unaweza ukasom chem n course nyngne yoyote kam utasom generalAu kwa jina jingine ni bachelor of science in chemistry
Au kwa jina jingine ni bachelor of science in chemistry
Bsc in General Utachukua masomo mawili wengi Huwa wanameja Chemistry (CH) na Microbiology (MC) ila zipo combinations nyingi Km microbiology (MC) Na zoology (ZL) Wildlife science (WS) kwako utachukua masomo mawili ambayo yanaendana Na combination yako km utaweza kuchukua Geology bhas chukua Mkuu ika km kozi ztaongezeka ambazo Mara nyingi utasoma Na wale ambao sio walimu ila wapo CoNAS
Nisaidie mkuu xo iyoo kozi ipojeeuko wrong mkuu,hyo general n chemistry n vitu vi2 tofauti.ila unaweza ukasom chem n course nyngne yoyote kam utasom general
uko sahihi sana mkuu ulichosema ndicho kinahusika.good explanationMkuu Ukweli naweza Kuwa very wrong ila Naomba utambue tu nimesoma CoNAS na hiyo course inatolewa hapo CoNAS zaidi First year nimekaa na Jamaa wa hiyo course na zaidi kwenye chemistry Practical nimefanya na watu wa Bsc in General Yaan mtu unachukua masomo mawili Wengi walikuwa wanapenda Microbiology na Chemistry ikumbukwe sio kila kozi ya microbiology atasoma ni baadhi tu kwa semester Na vivyo hivyo kwa chemistry tena upande wa chemistry Ndio wanasoma sawa Na watu wa education wanaomajor chemistry!!!
HONGERA MDOGO WANGU.Karibia conas utaijua,kuhusu ajira una sehemu nyingi sans soma kwanza sbb gen sc kwa 2 dept'al gpa ni mziki.Wakuu napenda kuuliza hii kozii iko vp?coz nimeapply third round
Na nikipangiwa ntaenda ku deal nann nikimalizaa na vp soko lake la Ajira
uko sahihi sana mkuu ulichosema ndicho kinahusika.good explanationMkuu Ukweli naweza Kuwa very wrong ila Naomba utambue tu nimesoma CoNAS na hiyo course inatolewa hapo CoNAS zaidi First year nimekaa na Jamaa wa hiyo course na zaidi kwenye chemistry Practical nimefanya na watu wa Bsc in General Yaan mtu unachukua masomo mawili Wengi walikuwa wanapenda Microbiology na Chemistry ikumbukwe sio kila kozi ya microbiology atasoma ni baadhi tu kwa semester Na vivyo hivyo kwa chemistry tena upande wa chemistry Ndio wanasoma sawa Na watu wa education wanaomajor chemistry!!!
mhuri25 ameelezea vzur sana mkuu pata maelezo akeNisaidie mkuu xo iyoo kozi ipojee
Jiandae kusoma MT&PH,GY&MT,,,pitia prospectus utajua mengiWakuu napenda kuuliza hii kozii iko vp?coz nimeapply third round
Na nikipangiwa ntaenda ku deal nann nikimalizaa na vp soko lake la Ajira
Duh xo mm PGM itanifaa kwel?HONGERA MDOGO WANGU.Karibia conas utaijua,kuhusu ajira una sehemu nyingi sans soma kwanza sbb gen sc kwa 2 dept'al gpa ni mziki.
Hapana mkuuAu kwa jina jingine ni bachelor of science in chemistry