Philemon38
Member
- May 30, 2018
- 74
- 33
BSc vs BengWana forum Naomba kwa wale wenye kufahamu tofauti iliyopo hapo watufahamishe I.e kuna tofauti ipi kati ya mtu ANAESOMA bachelor of science in Mechanical engineering na mtu ANAESOMA bachelor of engineering in mechanical engineering?
Wana forum Naomba kwa wale wenye kufahamu tofauti iliyopo hapo watufahamishe I.e kuna tofauti ipi kati ya mtu ANAESOMA bachelor of science in Mechanical engineering na mtu ANAESOMA bachelor of engineering in mechanical engineering?
Ok thanks,vp katika soko la ajira mtaan ,Ni nan anaangaliwa zaidBsc in engineering ime base upande wa theory zaidi. Ukiangalia hata prospectus masomoyalivyo mengini theory oriented.
B.eng ni practical based studies. Hii masomo mengi ni ya kazi kwa vitendo. Mtaala wa aina hii hutumiawa na vyuo kama DIT MUST ATC
Ok thanks mkuu, lakin kuna utata hapa ,why vyuo maarufu hapa nchi kwetu vimejikita katika BSc kuliko B.eng? i.e udsm engineering zote zipo katika mfumo wa BSc ,😱B.eng mkuu. Hii unatoka umeiva kivitendo, na ndio wataalam wengi huchukuliwa kutoka huko
kaka asikudanganye mtu hakuna tofauti yoyote mdogo wangu amesoma DIT computer engineering hamna tofauti yoyote kaka vyuo vinaweka majina tuu ilikuvutia watu lakini upande wa degree za science kuwa vizuri ni wewe mwenyewe sio chuoOk thanks mkuu, lakin kuna utata hapa ,why vyuo maarufu hapa nchi kwetu vimejikita katika BSc kuliko B.eng? i.e udsm engineering zote zipo katika mfumo wa BSc ,😱
kaka asikudanganye mtu hakuna tofauti yoyote mdogo wangu amesoma DIT computer engineering hamna tofauti yoyote kaka vyuo vinaweka majina tuu ilikuvutia watu lakini upande wa degree za science kuwa vizuri ni wewe mwenyewe sio chuo
Sawa kiongoz,but katika pita pita zangu mitandaon niliwah kutana na tangazo la ajira katika mambo ya engineering ,katika tangazo hilo kuna baadhi ya kazi zilikuwa special kwa watu walosoma chuo fulan,yani tangazo likitaka kwa baadhi ya kazi wasimbe watu kutoka chuo flan tu, sasa hili kiongoz unalisemea vpkaka asikudanganye mtu hakuna tofauti yoyote mdogo wangu amesoma DIT computer engineering hamna tofauti yoyote kaka vyuo vinaweka majina tuu ilikuvutia watu lakini upande wa degree za science kuwa vizuri ni wewe mwenyewe sio chuo
kaka asikudanganye mtu hakuna tofauti yoyote mdogo wangu amesoma DIT computer engineering hamna tofauti yoyote kaka vyuo vinaweka majina tuu ilikuvutia watu lakini upande wa degree za science kuwa vizuri ni wewe mwenyewe sio chuo
Siyo kweli,B,Engg -60/40% ( Practical/Theory )wakati B.Sc in Engg ni 40/60% (Practical/Theory)_muda wa mafunzokaka asikudanganye mtu hakuna tofauti yoyote mdogo wangu amesoma DIT computer engineering hamna tofauti yoyote kaka vyuo vinaweka majina tuu ilikuvutia watu lakini upande wa degree za science kuwa vizuri ni wewe mwenyewe sio chuo
Hakuna tofauti,mwisho wa siku wote wanatoa maEngineerWana forum Naomba kwa wale wenye kufahamu tofauti iliyopo hapo watufahamishe I.e kuna tofauti ipi kati ya mtu ANAESOMA bachelor of science in Mechanical engineering na mtu ANAESOMA bachelor of engineering in mechanical engineering?
lakin watakuwa Na tofauti hata katika utendaji kaziHakuna tofauti,mwisho wa siku wote wanatoa maEngineer
Si kweli. Kwanza Uinjinia umesoma lini?B.eng mkuu. Hii unatoka umeiva kivitendo, na ndio wataalam wengi huchukuliwa kutoka huko
Nani kakudanganya? Utendaji kazi ni asili ya mtu sio chuo!!lakin watakuwa Na tofauti hata katika utendaji kazi
Wana forum Naomba kwa wale wenye kufahamu tofauti iliyopo hapo watufahamishe I.e kuna tofauti ipi kati ya mtu ANAESOMA bachelor of science in Mechanical engineering na mtu ANAESOMA bachelor of engineering in mechanical engineering?
Kuna Professor wangu mmoja aliwahi kuniambia, chuo kikuu kazi yake kubwa ni kufundisha "kufikiri" sio kutenda. Ukiweza "kufikiri" watu wa kutenda wapo au unaweza kuelekeza namna ya kutenda.Ok thanks mkuu, lakin kuna utata hapa ,why vyuo maarufu hapa nchi kwetu vimejikita katika BSc kuliko B.eng? i.e udsm engineering zote zipo katika mfumo wa BSc ,😱
Umesha fika chuo? Unaelewa maana ya engineering? Unajua tofauti ya technician na injinia?Siamin Kama mtu aliyetumia mda mwing kufanya practical atakuwa sawa na mtu aliyetumia mda mwing kusoma theory, lazima tofaut iwe kubwa
Na kama hujui kufikiri basi hujui theory, hujui analysis.Kuna Professor wangu mmoja aliwahi kuniambia, chuo kikuu kazi yake kubwa ni kufundisha "kufikiri" sio kutenda. Ukiweza "kufikiri" watu wa kutenda wapo au unaweza kuelekeza namba ya kutenda.