nimepitia course za ruco nilichogundua walivyofanya wao ni hiv computer science inaunganisha part IT na part Software development na part research ambapo hapa ndio core part ya kutofautisha na koz nyingine za computer, walichofanya wao wakachukua computer science nakuigawanya mara mbili, moja computer science (informatics system) nyingine computer science (software engineering) binafsi nashangaa kwanin RUCO wamefanya hiv maana computer science yao yenye mabano (information systems) ni sawa na na koz ya UDOM ya IS (Bachelor of Science in information systems) na hiyo nyingine ya computer science yenye mabano (software engineering) hiyo ni sawa na computer science ya kawaida, lakini ukiingia ndani zaidi computer science main goal sio ku develop software bali kufahamu science behind computation wenyew wana base zaidi katika algorithm na research, kozi ya software engineering ya UDOM ni engineering degree hii ni tofauti na hizo zote mbili , pia ni tofauti na computer science ya UDSM na computer science ya UDOM, sababu zenyewe ni theory based , software engineering ya UDOM ni practicaly, mfano rahisi kuna tofauti ya dokta na biologists, kuwa good biologists hakukufanyi kuwa dokta ingawa kuna vitu wanashare , software engineering ni kama daktari ana base kwenye engineering implementation, computer science ni kama biologists ana base kwenye theory, biologists wanagundua uvumbuzi ambao madaktari wanatumia lakini biologists sio daktari, hizo ndio tofauti kubwa kati ya computer science na software engineering , lakini mambo sio always black and white watu hawa wanaweza kufanya kazi sehemu moja katika position moja lakini hio ndio tofauti yao kubwa kwenye paper na kwenye module au syllabus zao zinatofauti lakini hicho hikifanyi mtu kutofahamu cha upande wa pili.
Kachaguliwa tu? Hana interest nayo?
Yeye anajua nini kuhusu hii course? Ukimuuliza tofauti ya Computer Engineering, Software Engineering, Computer Science na Information Technology anaweza kukuelezea kwa lugha rahisi ukaelewa?
Problem solving skills zake zikoje? Anatumia logic kufikiri ama anaendeshwa na hisia? Anaonyesha intelligence na resilience kwenye namna anavyoapproach issues?
Is he/she naturally curious? Akiona kitu kigeni anatamani akisome akielewe zaidi ufanyaji kazi wake, hata kufikia hatua ya kukigoogle? Au anaspend all online time snapchat?
Command yake kwenye English Language ikoje?
Amesoma Computer A-Level / O-Level? Aliiwezea au ilimshinda?
Ufahamu wake kwenye computer upo kwa kiwango gani? Alishawahi kuandika program yoyote?
Kupitia maswali yangu nadhani unaweza kung'amua kuwa hii sio kozi ya kumtupa tu mtu otherwise atakuwa mediocre all their life.
Kijana hajawai soma kompyuta kabla, je kuna ugumu wowote atakao kumbana nao
Umejibu swali moja tu mkuu katika mengi sana.
Haitoshi kuleta picha kwasababu kwenye hii field kusomea isn't everything
inawezekana wew ndio ikawa haujui hayo maswali unayouliza lakini kama ni kweli msomaji hajui pia , basi tambua anaenda kupata wakati mgumu sana anapoelekea lakini asijali anaweza kukaza akamaliza je atatoka anaelewa? atatoka anaujuzi au atakua test taker? hizi koz haijalishi unacheti hakuna ajira kwa watu ambao hawajui wanachofanya hakuna ajila kwa test takers , hiz kozi ajira ni wew mwenyew ujuzi wako sio cheti kama kozi nyingine , wanafunzi siku hiz wanatia huruma sana.
Hajui hata basics za windows? File management, typing & keyboard shortcuts, command prompt, PATH, registry?Kijana hajawai soma kompyuta kabla, je kuna ugumu wowote atakao kumbana nao
Uchambuzi mzuri, chambua na ya st Joseph University nasikia ati wana computer science engineering na information systems networking engineeringnimepitia course za ruco nilichogundua walivyofanya wao ni hiv computer science inaunganisha part IT na part Software development na part research ambapo hapa ndio core part ya kutofautisha na koz nyingine za computer, walichofanya wao wakachukua computer science nakuigawanya mara mbili, moja computer science (informatics system) nyingine computer science (software engineering) binafsi nashangaa kwanin RUCO wamefanya hiv maana computer science yao yenye mabano (information systems) ni sawa na na koz ya UDOM ya IS (Bachelor of Science in information systems) na hiyo nyingine ya computer science yenye mabano (software engineering) hiyo ni sawa na computer science ya kawaida, lakini ukiingia ndani zaidi computer science main goal sio ku develop software bali kufahamu science behind computation wenyew wana base zaidi katika algorithm na research, kozi ya software engineering ya UDOM ni engineering degree hii ni tofauti na hizo zote mbili , pia ni tofauti na computer science ya UDSM na computer science ya UDOM, sababu zenyewe ni theory based , software engineering ya UDOM ni practicaly, mfano rahisi kuna tofauti ya dokta na biologists, kuwa good biologists hakukufanyi kuwa dokta ingawa kuna vitu wanashare , software engineering ni kama daktari ana base kwenye engineering implementation, computer science ni kama biologists ana base kwenye theory, biologists wanagundua uvumbuzi ambao madaktari wanatumia lakini biologists sio daktari, hizo ndio tofauti kubwa kati ya computer science na software engineering , lakini mambo sio always black and white watu hawa wanaweza kufanya kazi sehemu moja katika position moja lakini hio ndio tofauti yao kubwa kwenye paper na kwenye module au syllabus zao zinatofauti lakini hicho hikifanyi mtu kutofahamu cha upande wa pili.
Bora aede RUCO, NIT no.Same case, mdogo wangu nae amepata computer science software engineering (RUCU)
na IT hapo NIT, kwa michango hii nadhani ntapata cha kumshauri wapi pa kwenda.
computer science and engineering ya st Joseph CSE ile ni computer engineering CE , UDOM inaitwa CE , DIT inaitwa CO , UDSM inaitwa computer engineering and Information technology kozi hiz zote zinalenga computer science lakini zina base katika computer hardware zaidi kuliko software japokua wanagusa kidogo upande wa software lakini module zao zina base zaidi katika upande wa math physics na electrical , katika computer engineering and Information technology ya UDSM ni double major ina include na information technology but all in all hiz ni engineering degree zinafana, information technology yenyewe ina base katika application ya computer science naposema application namaanisha mwana IT yeye huwa mtumiaji wa product au mtaalamu operator, mfano NASA wanarusha satellite kwenda angani wanaitaji mtaalam mwenye taaruma ya kutumia mitambo ya kisasa hawa ni watu waliosoma IT pia IT ni trouble shooter kama vile kuinstall systems na kufanya configuration kama vile systems kwenye banks , kuinstall na ku backup data ku deal na database management na kutoa. msaada kwa wateja wa kawaida .Uchambuzi mzuri, chambua na ya st Joseph University nasikia ati wana computer science engineering na information systems networking engineering