JMP Mchungu
Member
- Jun 30, 2015
- 49
- 127
Ndugu zangu nimechaguliwa course hiyo pale UDOM kwa wenye utaalam nayo naomba kujua uzuri wake na ajira zake zikoje na inahusiana na nini? asante
Nadhani hii ndo ina sound vizuriMimi nipo nao karibu sana watu wa hiyo kozi , Pale Udom-Cive inaitwa BIS , naomba uelewe hiyo business isikudanganye utasoma zaidi IT kuliko biashara alafu hesabu zakutosha tu na kikubwa ni kozi nzuri sana na jua wewe unaenda kuwa mtu wa IT mwenye knowledge ya biashara. NB : ELEWA UNAENDA KUSOMA IT NA SIYO BIASHARA.
Hii inautofauti gan na ile ya mzumbe IT & BUSINESSMimi nipo nao karibu sana watu wa hiyo kozi , Pale Udom-Cive inaitwa BIS , naomba uelewe hiyo business isikudanganye utasoma zaidi IT kuliko biashara alafu hesabu zakutosha tu na kikubwa ni kozi nzuri sana na jua wewe unaenda kuwa mtu wa IT mwenye knowledge ya biashara. NB : ELEWA UNAENDA KUSOMA IT NA SIYO BIASHARA.
Tusubirie majibuHii inautofauti gan na ile ya mzumbe IT & BUSINESS
Ya UDOM ipo shallow...Hii inautofauti gan na ile ya mzumbe IT & BUSINESS
Pamoja mkuuYa UDOM ipo shallow...
Ya Mzumbe wanapiga IT na Biashara sana (Wanakua wanasoma masomo ya biashara kama accounts na uchumi kwa syllabus ya BAF)
Hapa hakuna wazo zaid ya ushabikiYa UDOM ipo shallow...
Ya Mzumbe wanapiga IT na Biashara sana (Wanakua wanasoma masomo ya biashara kama accounts na uchumi kwa syllabus ya BAF)