bachelor of science in applied geology

bachelor of science in applied geology

kuna kitu kimoja watu wengi humu hawaelewi sjui wanafanya maksudi,kupata ajira sikuhizi ni bahati tu haina mana kozi ikiwa ajira zake znapatkana bas na wewe utapata au koz ajira zake zikiwa ngumu bas na we utakosa,ajira ni bahati yako tu skuiz na kama ipo ipo tu cha msingi katie kazi dogo,mambo mengne badae uko..
 
Ina maana u never did any research kuhusu coz unayoichagua?? Hadi umeshachaguliwa ndo unakuja eti kuuliza kama ina ajira??? #SMH
 
kuna kitu kimoja watu wengi humu hawaelewi sjui wanafanya maksudi,kupata ajira sikuhizi ni bahati tu haina mana kozi ikiwa ajira zake znapatkana bas na wewe utapata au koz ajira zake zikiwa ngumu bas na we utakosa,ajira ni bahati yako tu skuiz na kama ipo ipo tu cha msingi katie kazi dogo,mambo mengne badae uko..
Poa poa kk
 
Soma kozi yyte lkn mind set yko ni plan A kujiajiri mwenyewe plan B kuajirriwa utaona namna ambyo mindset inajpnga kuziona fursa ambzo m2 anyetegemea kuajiriwa hazion kwa ubongo wke unwaza kuajiriwa tu
 
Nmekpata mkuu
 
Nenda kasome mkuu. Kupata kazi pia ni zali sometime haitegemeani na kozi yako.

Mnaweza mkamaliza mwaka sawa na rafki yako,but yy akapata soon after finishing ila ww ukasugua kwanza.

Kwasasa waza kusoma tu.
 
Back
Top Bottom