Bachelor of law

shashula

Member
Feb 21, 2022
65
26
Wana jf kuna chuo chochote kinachopokea clinical officer (C0) kusoma shahada ya kwanza ya sheria.
Msaada mwenye kufahamu hilo
 
Ameuliza kuhusu Diploma sio Form six.
Form six kombi zote wanaruhusiwa kusoma Bachelor of Laws vyuo vyote hata kama ni UDSM.
Open University of Tanzania ,wanakuchukua kusoma LLB na background yako hiyo.

Kumbuka Dr.Faustine Ndugulie amesoma LLB na alitumia cheti Cha form six (PCB)
 
Ameuliza kuhusu Diploma sio Form six.
Form six kombi zote wanaruhusiwa kusoma Bachelor of Laws vyuo vyote hata kama ni UDSM.
Nimemuelewa sana.Wewe ndo huku nielewa .Nimesema inawezekana kabisa .Ni ka mtolea mfano wa kawaida wa PCB kudahiliwa kusoma sheria na hata yeye na diploma ya clinical medicine inawezekana kabisa
 
Wewe ni mbishi sana, kwenye Guidebook ya TCU ukicheki Open University of Tanzania Diploma ya Clinical Medicine haijatajwa.

Narudia tena kwa PCB anasoma Bachelor of Laws ya Open University of Tanzania ila Clinical Medicine haijaorodheshwa.

Ila chuo cha Stella Maris wao mwenye Clinical Medicine anadahiliwa kusoma Bachelor of Laws.

Acha kubisha tu soma TCU Guidebook.

Nimemuelewa sana.Wewe ndo huku nielewa .Nimesema inawezekana kabisa .Ni ka mtolea mfano wa kawaida wa PCB kudahiliwa kusoma sheria na hata yeye na diploma ya clinical medicine inawezekana kabisa
 
Acha kuonyesha ujinga wako mtoa mada anaulizia kuhusu Clinical Medicine sio PCB.
Je Open University of Tanzania wameiweka hio Diploma?
Jibu ni haipo.
Acha kuleta habari za PCB wakati umeulizwa kuhusu Diploma.

Stella Maris wao Diploma ya Clinical Medicine ipo kwahio anaruhusiwa kusoma Bachelor of Laws.
Soma tena nilicho kiandika tuliza akili.
 
Acha kuonyesha ujinga wako mtoa mada anaulizia kuhusu Clinical Medicine sio PCB.
Je Open University of Tanzania wameiweka hio Diploma?
Jibu ni haipo.
Acha kuleta habari za PCB wakati umeulizwa kuhusu Diploma.

Stella Maris wao Diploma ya Clinical Medicine ipo kwahio anaruhusiwa kusoma Bachelor of Laws.
Daaaaah!
 
Hata kwa 2023/2024 Stella wanastahili kwa CO kusoma law
 
Mnabishana Bure.Wote mmejibu swali Kwa usahihi na hamtofautiani kwenye jibu la msingi.Isiwe siku mbaya JF,kunradhi wasikilizaji.
 
Back
Top Bottom