Bachelor of Forest VS Bsc in Education

Bachelor of Forest VS Bsc in Education

Mkuu zote ni nzuri ndo maana zipo, labda ungespecify uzuri kwenye nini, mshahara, majukumu au kwajicho la jamii so be clear man!
Ndio kuhusu mshahara pamoja na majukumu
 
Karibu sana B.Sc. Forestry
Haki hutojutia kusoma hii kozi, coz ina mambo mengi na muhimu kujifunza. Jiandae kusoma Mathematics, Economics, Laws, Wildlife, Beekeeping, Ecology, Tourism, Soil, GIS, Agribusiness Engineering... Ase mambo ni mengi sana. Bila shaka utaweza kuamua kuwa ipi ni kozi bora hapo.
 
  • Thanks
Reactions: aad
Chukua Education. Sababu
1. Forestry ina mambo mengi mno ambayo hayana tija hasa kwenye kujiari
2. Education n pana mostly ipo open unaweza fanya mambo mengine binafsi
3. Mwsho kozi n ww mwenyewe yyt kati ya hzo inaweza kuwa mbaya au nzuri
 
  • Thanks
Reactions: aad
Dadekiiii dogo utakuwa bwege Sana ukiiacha forestry.. One of the best coz na ni ya zaman sana kutolewa Sua

Kuuhusu kipato na mshahara hivi unawajua maafisa misitu au unawaskia?

Mi nlkuwepo Sua hapo kipind hcho engineering.. Nisingesoma PGM ningesoma chermistry na biology kama wewe ningeenda hio kozi
 
Nenda BSC.Ed achana na mabwana misitu hao... Kwanza hiyo ni ualimu wa sayansi, huwezi kosa ajira kama wale wa walimu wa sanaa
Nenda education yako ya sayansi safii kabisa ukimaliza hautang'aa sharubu kama hao maaofisa misitu
 
Zote Nzuri tu Mkuu
Angalia unayoipenda zaidi ndio usome kwa raha na utaipigania zaidi
 
Yeah course nzuri xana haina competition kubwa uki kompere na education
So we mwenyewe utaona wapi n pazuri pakwenda ila me nkushauri nenda forest
Iko gud zaid
 
Dogo we amua ukasome unachokipenda kutoka moyoni.
Hapa kila mtu atakushauri utumbo wake kulingana na anavyopenda yeye. Mwisho wa siku utachanganyikiwa.
Ukisoma kwa lengo la kuja kuajiliwa unaweza ukachelewa sana.
forestry ukaajiliwe?
LILAKULOKELAKO.
 
Uchaguzi upo kwako.

Kama ni mishahara ipo sawa kulingana na level ya elimu uliyonayo.

Forestry posho zipo zipo ukilinganisha na Education.

Zote upatikanaji wake wa ajira hausumbui, Kwa upande wa Forestry ni chuo kimoja tu Tz kinachoofa degree kwa hiyo course (SUA), na FTI/Olmotonyi (Arusha) kwa certificate na diploma. Hivyo ajira huwa zikitolewa huwa wanahitajika watu 100+.

Mazingira ya kazi kwa Forestry kidogo sio ya lelemama hasa upande wa doria.

(A forester must be tough and rough but not dirty).

Usipokuwa mwadilifu katika kazi forestry ni kazi yenye risk kubwa tofauti na education.

Kwasasa upande wa forestry kuna mafunzo ya ukakamavu na uzalendo kupitia jeshi USU, hivyo ukishaajiriwa hilo halikwepeki.
 
we ni forester mkuu?
 
Back
Top Bottom