Habarin za jion wadau wa JF
Ninaomba kujua/kudadavuliwa kuhusiana na hiyo course hapo juu inahusiana na nini au watu wake wanajishughurisha na nin. Ni upi uzur na ubaya wake katika soko la ajira au kwa kujiajiri kwa hapa kwetu Tanzania....Nawasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.