yap mara nyingi watu wanaosoma facult kama bed sped, bed in adulteducation, bed in child education na hata mimi niliyesoma bed science field tulifanyia kwenye masecondary pamoja na kwamba special area zetu za kufanyia kazi. Hii inatokana na uchache na sehemu hizo au chuo kuchagua baadhi tu ya mikoa na wilaya za kufanyia field.