ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
Duh kila mtu wa arts anachagua education inaonesha ajira ni ngumu sana, binafsi niliwakataza wadogo zangu kuchagua education
" demand and supply", "scarcity,"hello jf members nimechagua hii programme ya bachelor of education in psychology sasa mi hata siielewi na hii ni baada ya kuambiwa na Tcu nifanye uchaguzi upya. Nikishamaliza chuo naweza fanya kazi gani kwa hiyo prog. Yangu