high vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,941
- 2,183
Ndugu yangu ameniambia kachaguliwa hii kozi je faida na hasara ni zipi
Hakuna hasara bali faida..aende kusoma ila cha msingi akatafute maarifa na sio vyeti.Ndugu yangu ameniambia kachaguliwa hii kozi je faida na hasara ni zipi
Asante nawaza Ajira atakuwa anaomba HR au business administrationHakuna hasara bali faida..aende kusoma ila cha msingi akatafute maarifa na sio vyeti.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app