koboG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 2,763
- 5,174
wakuu ninaomba ambaye anauelewa juu ya kozi ya [bachelor of arts in translation and interpretation] anijuze juu ya haya mambo yafuatayo hata kama sio yote kama unauelewa walau juu ya moja wapo mchango wako ni wamuhimu
- kozi inahusisha lugha ngapi wakati wa kiusoma kwa hapa tanzania
- aliyehitimu stashahada anaweza kufanya kazi kama nani?
- nchi inauhitaji kiasigani wa watu waliosomea hii kozi
- dunia kwa ujumla inauhitaji kiasi gani wa watu wa aina hii
- nafasi za ajira zinapatikana katika taasisi gani[serikali au zisizo za kiserikali?]
- uwezekano wa kujiajiri upo?
- vitu vya msingi vya kuzingatia kabla ya kuisoma kozi husika
- faida ya kozi husika katika jamii yetu na dunia kwa ujumla
- tumechaguliwa watu 10
- chuo ni UNIVERSITY OF DODOMA