Bro, umefumaniwa Kisha ukaandika habari yenye mkato, nukta, na Aya Kila kimoja kwenye nafasi yake......!Wakuu za majukumu......
Awali ya yote niseme tu kuwa nilishaapa kutotongoza mke wa mtu cozi najua mke wa mtu sumu.
Suluhu mfate samia😄Tatizo la wabongo ni tunatiana hofu zaidi kuliko kusaidiana. Nipe Suluhu mkuu
Mwanamke ulibaki nae au alirudi kwake?Mkuu nipo kwenye hot period, nasikilizia kitakachojili, nimeamka mwili hauna nguvu kabsaa
Katika hii dunia nahisi nitakuwa binadamu wa kwanza kugonga mke wa mtu! Vipi nyie mnaodriki kuninyooshea kidole hapa kwenye hadhara mu wasafi kiasi hicho? Mimi mwenyewe sipendi kutoka na mke wa mtu.Unajua tulioa tunahangaika sana, tunarisk na kusacrifice Mambo mengi sana ili kutunza familia then anatokea mtu anakugongea mkeo kwa kisingizio mkeo kajilengesha! Aisee ibaki hivi hivi tu sijui kinachoendelea upande wa pili ila siku nikijua sijui itakuaje! Tungekua tunakaa mtaa mmoja ningekufanya kitu hamna Aisee!!!
Kama unataka suluhu nenda kamwombe msamaha mume wa huyo mwanamke.Tatizo la wabongo ni tunatiana hofu zaidi kuliko kusaidiana. Nipe Suluhu mkuu
Hakuja na mwanamke alikuwa jamaa pekeake. Alisema ameniachia huyo mwanamke ila hakuwa amemleta. Na saivi bado sijajua kama alimuacha kweli au ilikuwa ni bit tu! Asante chief kwa ushauri konk!Mwanamke ulibaki nae au alirudi kwake?
Be strong, ukikosa nguvu ndio hatari zaidi....
acha vitisho weweUnajua tulioa tunahangaika sana, tunarisk na kusacrifice Mambo mengi sana ili kutunza familia then anatokea mtu anakugongea mkeo kwa kisingizio mkeo kajilengesha! Aisee ibaki hivi hivi tu sijui kinachoendelea upande wa pili ila siku nikijua sijui itakuaje! Tungekua tunakaa mtaa mmoja ningekufanya kitu hamna Aisee!