Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Jan 20, 2018 #1 *Haya maisha ya ki bachelor bhana noma sana*. *unaweza ukatafuta dekio kama dakika 20 kuja kushtuka kumbe umelivaa* [emoji23][emoji23][emoji23]
*Haya maisha ya ki bachelor bhana noma sana*. *unaweza ukatafuta dekio kama dakika 20 kuja kushtuka kumbe umelivaa* [emoji23][emoji23][emoji23]
McCarthy JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 506 Reaction score 555 Jan 20, 2018 #2 Ha haa..aisee!
bogosho Senior Member Joined Jan 5, 2018 Posts 150 Reaction score 354 Jan 20, 2018 #3 mifuko ya chips kavu kibao ndani haha
Espy_ JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 91,960 Reaction score 183,581 Jan 20, 2018 #4 Mmmh!! Unavaaje dekio!!
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 11,468 Reaction score 31,628 Jan 20, 2018 #5 Hahaaa. Nilikua natupa vyombo vichafu kwa uvivu wa kuosha Baada ya kiviweka wiki nzima
SPINE JF-Expert Member Joined Dec 11, 2017 Posts 1,073 Reaction score 1,162 Jan 22, 2018 #7 Duh noma sana