Hongera ndugu daah ulikua una drop noma sana ungeongezewa miaka miwili mbele tungekuokota [emoji16][emoji16]Me nitatoa ushuhuda wangu hapa. Nina BA in Economics(hons) kutoka udsm but sijui ilikuaje nikawekewa hons. GPA yangu ni 3.0.
Mtiririko wa GPA kuanzia first year ni kama ifuatavyo
First year 3.3
Second yr 3.0
Third year 2.7
Nikiwa mwaka wa pili semester ya pili nilisupp somo moja.
So mpaka Leo sijui kwa nin niliwekewa hons kwenye cheti na wala sioni ka imenisaidia chochote.
Mimi Nina 1st class GPA 4.4 Bsc...... (hons) , kwa mtriiriko ufuatao 4.7,4.4 na 4.1, nilianza kwa hasira nikitokea kazini (in service) baadae 2nd and 3rd year nikajistukia nikapunguza munkari nikaanza kula bata kama machalii wa "direct from school". So down trending doesn't mean jamaa hajiwezi inaweza kuwa ni uamuzi tu!!Hongera ndugu daah ulikua una drop noma sana ungeongezewa miaka miwili mbele tungekuokota [emoji16][emoji16]
Exactly, kwa UDSM wanaangalia sana course zenye desertation (thesis) ndiyo unapewa honors. Hiyo ya mtiririko wa GPA siyo kweli kwani binafsi nina hons degree ya UDSM na nilipata 3.6, 4.2, 4.5 na nikamaliza na 4.1.History itawakomboa, kwa system ambayo tulianza anayo ilikuwa ukipata second class au first class wanakupiga honours haijalishi kama trend yako ilikuwaje. Hii ndiyo system amabayo UDSM bado wanayo ikirithiwa kutoka University of London ya miaka hiyo.
Sasa kwa UK wakaanzisha hizi degree za honours kawaida miaka 4 na ukimaliza unaweza kwenda moja kwa moja PhD na huwa na research project kwa kawaida. Hizi hazijalishi performance yako la msingi ufaulu na ukifauli unapewa cheti chako cha degree ya honours hata kama ni pass degree.