Msomi_wa_bongo2
Member
- Nov 6, 2015
- 46
- 18
Bachelor degree with Honours should be awarded only to a candidate who completes studies within the prescribed period of the programme at second class level and above and without supplementing any subject.
WAKUU INAUKWELI HIYO?
Hilo ni jina tu. Maana kuna degree zinaitwa Bsc (Hons) hata kabla hujajiunga.Bachelor degree with Honours should be awarded only to a candidate who completes studies within the prescribed period of the programme at second class level and above and without supplementing any subject.
WAKUU INAUKWELI HIYO?
Sasa na zile degree unazotangaziwa zina (Hons) hata kabla hujajiunga nazo umazizungumziaje?Watu hupotosha sana. Maana ya Hons ni kwamba, uhitimu bachelor yako huku GPA ikiwa inapanda kila mwaka. Mfano, kama mwaka wa kwanza ulikuwa na GPA 3.5, mwaka wa pili 3.6 na mwaka wa tatu 3.7, hapo tayari una Bachelor (HONS)
Mimi nilipata hii, mtoa mada yupo sahihiWatu hupotosha sana. Maana ya Hons ni kwamba, uhitimu bachelor yako huku GPA ikiwa inapanda kila mwaka. Mfano, kama mwaka wa kwanza ulikuwa na GPA 3.5, mwaka wa pili 3.6 na mwaka wa tatu 3.7, hapo tayari una Bachelor (HONS)
Upo sahihi, mimi nilipata hiiiHilo ni jina tu. Maana kuna degree zinaitwa Bsc (Hons) hata kabla hujajiunga.
huo ndio ukweli hata mimi nimepata hiyoMimi nilipata hii, mtoa mada yupo sahihi
Hata kama ulikuwa na sup pia unapata, GPA ipande tuuhuo ndio ukweli hata mimi nimepata hiyo
Yaweza kua ni kweli.honourable ni kwamba katika hiyo degree kuna courses flani extra unafanya ambazo wa bachelor ya kawaida hazisomi
Hahahaha mkuu kwahiyo ulipata gentleman au lower second??Me nitatoa ushuhuda wangu hapa. Nina BA in Economics(hons) kutoka udsm but sijui ilikuaje nikawekewa hons. GPA yangu ni 3.0.
Mtiririko wa GPA kuanzia first year ni kama ifuatavyo
First year 3.3
Second yr 3.0
Third year 2.7
Nikiwa mwaka wa pili semester ya pili nilisupp somo moja.
So mpaka Leo sijui kwa nin niliwekewa hons kwenye cheti na wala sioni ka imenisaidia chochote.
Hiyo ni lower second babu.. Na ninajivunia kuipata coz wengi waliishia njian.Hahahaha mkuu kwahiyo ulipata gentleman au lower second??
Si kweli.vip kuhusu watu ambao ndio wa kwanza kugraduate progamme mpya iliyoanzishwa kwenye chuo ni kweli kwamba hao nao hupewa bachelor degree with honor?