Ni kozi ambayo imejikta zaidi kwenye aina ya uchumi ambao unasadifu moja kwa moja, hali ya kimaisha ya watu. Kwa mfano, tunaposema uchumi wa nchi umekua, hutuangalii kuongezeka kwa pato la taifa tu (GDP). Ila tunatazama pia kipato cha mtu mmoja mmoja kama kimeongezaka, upatikanaji wa huduma za kijamii kama vile vituo vya afya, elimu, maji safi nk. Lakini pia tunangalia kasi ya ongezeko la watu (Growth rate) tukilinganisha na mchango wa sector mama kwenye pato la taifa.
Ajira za hii kozi hazina tofauti sana na mtu aliye soma kozi ya "Bachelor of art in Economics" na pengine hii ndy changomto kubwa ya hii kozi "development economics"
Uchumi unaingia sehem nyngi sana hivyo basi ukimaliza kusoma hii kozi unaweza kuajiliwa kama Mchumi, bwana Mipango pamoja na carrier nyingine nyngi tu iwe ni kwenye "private au public institutions". Lakini pia kubwa zaid hata wewe mwenyewe unaweza ukajiongeza ukajiajili.
Hiyo kozi ipo pale chuo cha Mipango-Dodoma, lkn pia chuo cha kumbukumbu ya Mwl.Nyerere pale DSM ipo.
"ALL THE BEST"