Tuje kwenye hoja ya kwanza ya mdau,
Je atapata mkopo?
Nnavojua mm mkopo ni kwa mwanafunzi yyte anaetoka familia ya chini aliyekidhi vigezo,
Vigezo ni vipi
Ni rahisi zaidi kupata mkopo km alitokea shule za kawaida,km alisoma shule za kulipia wanamchukulia anatoka kwenye familia inayojimudu,
Lkn ni kweli wa sayansi wanaangaliwa zaidi japo haina maana wa art hawawezi pata mkopo,ilimradi athibitike anatoka familia ipi na ufaulu wake upije,
Hivi ndo nnavyojua Mimi,km kuna la zaidi wajuzi wataongezea zaidi