ommy clear JF-Expert Member Joined May 26, 2018 Posts 214 Reaction score 58 Sep 10, 2019 #1 Sorry waungwana naomba ushauri kati ya bachelor of accountancy na bachelor of accounting and finance ipi kati ya hizo iko poa zaidi. mawazo yenu ni muhimu kwangu ahsanten
Sorry waungwana naomba ushauri kati ya bachelor of accountancy na bachelor of accounting and finance ipi kati ya hizo iko poa zaidi. mawazo yenu ni muhimu kwangu ahsanten
ommy clear JF-Expert Member Joined May 26, 2018 Posts 214 Reaction score 58 Sep 10, 2019 Thread starter #2 Mwenye kujua p'se
ommy clear JF-Expert Member Joined May 26, 2018 Posts 214 Reaction score 58 Sep 10, 2019 Thread starter #3 Bado hawajafika au
ommy clear JF-Expert Member Joined May 26, 2018 Posts 214 Reaction score 58 Sep 10, 2019 Thread starter #4 Kimyaa duuh
zipompa JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,150 Reaction score 26,242 Sep 10, 2019 #6 ile kusoma uzi nkajua kuna mechi ya hao jamaa ila bapo BAF anashinda tena iwe mzumbe
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 170,053 Reaction score 188,143 Sep 10, 2019 #7 Ngoja waje kukupa mwanga... Cc: mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,622 Reaction score 178,806 Sep 10, 2019 #8 International said: Chuo gani? Click to expand... nahisi mzumbe. .... Cc Smart911
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,428 Reaction score 11,839 Sep 10, 2019 #9 Ya chuo gani ?
ommy clear JF-Expert Member Joined May 26, 2018 Posts 214 Reaction score 58 Sep 10, 2019 Thread starter #10 Akilinjema said: Ya chuo gani ? Click to expand... Mzumbe
ommy clear JF-Expert Member Joined May 26, 2018 Posts 214 Reaction score 58 Sep 10, 2019 Thread starter #11 Kwaio BAF ni nzuri zaidi kuliko BAC mkuu? zipompa said: ile kusoma uzi nkajua kuna mechi ya hao jamaa ila bapo BAF anashinda tena iwe mzumbe Click to expand...
Kwaio BAF ni nzuri zaidi kuliko BAC mkuu? zipompa said: ile kusoma uzi nkajua kuna mechi ya hao jamaa ila bapo BAF anashinda tena iwe mzumbe Click to expand...
ommy clear JF-Expert Member Joined May 26, 2018 Posts 214 Reaction score 58 Sep 11, 2019 Thread starter #12 TIA pia na mzumbe kote nimepata ndo nataka nicheki nisome ipi kati ya hizo mkuu International said: Chuo gani? Click to expand...
TIA pia na mzumbe kote nimepata ndo nataka nicheki nisome ipi kati ya hizo mkuu International said: Chuo gani? Click to expand...
Kigoma Independent JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 3,520 Reaction score 2,058 Sep 11, 2019 #13 Nenda BAF haraka uje ule mema ya nchi
ommy clear JF-Expert Member Joined May 26, 2018 Posts 214 Reaction score 58 Sep 11, 2019 Thread starter #14 Benson Rayson said: Nenda BAF haraka uje ule mema ya nchi Click to expand...
Kyalow JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,563 Reaction score 2,612 Sep 11, 2019 #15 ommy clear said: TIA pia na mzumbe kote nimepata ndo nataka nicheki nisome ipi kati ya hizo mkuu Click to expand... BAF ni mziki nenda mzumbe
ommy clear said: TIA pia na mzumbe kote nimepata ndo nataka nicheki nisome ipi kati ya hizo mkuu Click to expand... BAF ni mziki nenda mzumbe
ommy clear JF-Expert Member Joined May 26, 2018 Posts 214 Reaction score 58 Sep 11, 2019 Thread starter #16 Kyalow said: BAF ni mziki nenda mzumbe Click to expand... Kwaio bora nikapige BAF au nipige BAC?
Kyalow JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,563 Reaction score 2,612 Sep 11, 2019 #17 ommy clear said: Kwaio bora nikapige BAF au nipige BAC? Click to expand... BAF
Avriel JF-Expert Member Joined Jun 25, 2017 Posts 4,978 Reaction score 5,417 Sep 11, 2019 #18 BAF ni multi purpose Kama mvivu soma BAC coz mzigo wa kozi kwa semester unapungua....few options
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,428 Reaction score 11,839 Sep 11, 2019 #19 A’level ulisoma combination gani?
ommy clear JF-Expert Member Joined May 26, 2018 Posts 214 Reaction score 58 Sep 12, 2019 Thread starter #20 Nimesoma diploma ya accountancy Kyalow said: BAF Click to expand...