Babysitter
Member
- Jan 6, 2020
- 6
- 5
asante
mtu anaye shinda na kumuangalia mtoto wako kwa sikuBabysitter ndo nn?
Sent from my iPhone using JamiiForums
elfu kumi kwa sikuMalipo kiasi gani
Kwa mwezi laki tatu..dohelfu kumi kwa siku
Mmeidhinishwa na serikali ?? maana msije kutubakia watoto wetuHabarini ndugu zangu. kwa yeyote aliye ndani ya Dar es salaam, na anaitaji babysitter kwa siku au zaidi ya siku, wasiliana nasi kwa simu number 0692378942 kwa siku tuna angalia mtoo au watoto wako kwa elfu 10,000 tu.
Nakuja kwako kukaa nae
Habarini ndugu zangu. kwa yeyote aliye ndani ya Dar es salaam, na anaitaji babysitter kwa siku au zaidi ya siku, wasiliana nasi kwa simu number 0692378942 kwa siku tuna angalia mtoo au watoto wako kwa elfu 10,000 tu.