Baby will you marry me?

Baby will you marry me?

me...!!! yes...
nini roses......hata haziliwi.....
ukiniletea mboga najua unanijali na unajali afya yangu......
sasa kisingizio cha gharama ni ZERO. Ngoja ni kapalilie mchicha .........sweetie asijenitosa teh..teh....
 
leta saro....na ulete fungu mbili.....maana zikipikwa zinashrink.......

mimi nalima saro na magenge yote wanachukua kwangu.....hata mhindi mwenye mgahawa anunua saro kwangu! teh ..teh nafikiri mm zaidi!
 
me...!!! yes...
nini roses......hata haziliwi.....
ukiniletea mboga najua unanijali na unajali afya yangu......
Kumbe ume copy tangu niwe nakuletea kisamvu.....umeamuakutoa ya moyoni!!Nabadilisha nitakuwa naleta mchunga!
 
Hizo kamba usifunge, weka kwa briefcase ntakufungia huku huku. Si unaona ni wangapi wamesema yes? Au nikuafuate? Lol

Bora uje kunichukua ltu baby wangu maana naona kuna dada mmoja ananivizia kwenye kale kauchochoro
 
Bora uje kunichukua ltu baby wangu maana naona kuna dada mmoja ananivizia kwenye kale kauchochoro

Maweee! natuma kibajaji now now, ebu weka hizo viatu kwa mfuko. halafu huo mchicha umwagie maji kidogo usinyauke, si unajua bajaj ina madirisha makubwa, jua mvua vyote vyako?
 
Maweee! natuma kibajaji now now, ebu weka hizo viatu kwa mfuko. halafu huo mchicha umwagie maji kidogo usinyauke, si unajua bajaj ina madirisha makubwa, jua mvua vyote vyako?

Ha ha haaaa!!! huyu mke niliyempata taabu kweli kweli.
 
Back
Top Bottom