😹😹Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*
Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha
Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera
Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa
Kona ya Bwiru
Umesahau kile kimdudu.Achedi mabo yedu ninyi mabem.Unaweda kupedeza kwa peda yako mwenyewe
Mwanamke ni ua muda wote linahitaji maji ili lizidi kuchanuaPamoja na hayo hebu wanawake mpunguze kuombaomba , mbona hamusemi kuhusu wanawake wanaowapendezesha wanaume zao pia? Tatizo mmekariri kuwa wanawake Tu ndio mnapaswa kupendezeshwa, na kusifiwa siyo dhambi na siyo kila anayekusifia awe amechangia wewe kupendeza, achane hizo Mambo bwana
Wanahitaji kitobo tu sio huo mwili wako.Why they do need my body? They should make up
Hii wiki wanaume wa humu wanapitiwa na vimbunga hadi sio poa.....
Ngoja watoke church make wengi ni waimba kwaya.
Wajibu wa mwanaume siyo kukwepa majukumu,mpendezeshe msifieMy life goals, nitamfundisha dear daughter kuwa yeye sio kundi maalum. Ni binadamu kamili ambaye hatakiwi kuwa tegemezi kwa basic needs kama mlo na muonekano. Kiufupi mwanaume ni patner na sio solution ya matatizo madogo kama hayo
Na huu sio msimamo wangu ila ni maisha waliyoishi bibi, shangazi na mama zangu. Kwa hiyo asitafute laana yao
Hamna shukrani nyie viumbe, Leo nikikupa Kesho nikisema nimekosa huwa hamuelewi,Mwanamke ni ua muda wote linahitaji maji ili lizidi kuchanua
Wewe badala ya kufikiria namna ya kutafuta maisha.unawaza kusifiwa umependeza utakua mzigo sana wewe.Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza