Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,986
- 168,517
Ukadhani mi kumuweza kama huyu?Unatafuta mchumba?
Kinachoudhi: Unakuta kitoto kama hiki ni sura tu, maungo ni zaidi ya mzee!!! Kwa maana vitoto vya siku hizi vinayoyafanya haviendani na umri wao kabisa!!!!
Ba! Ntu huyu umentoa wapi Bujibuji?
unanikumbusha drama boy wa kwenye sinema ya gods must be crazy part 1ayayayaaaaaa!!!!!!!
Anapiga ngumi za chembe, hujawai kuonaBinti NATURAL.......Katulia........Kumuita BABY UBAYA nilitarajia atakuwa na features kama za BABA UBAYA....