"Baby sikupi hadi tukapime.."

"Baby sikupi hadi tukapime.."

Jibu hili hapa mtoa mada. Kwenye vile vipimo wameandika kabisa hautakiwi kusoma majibu baada ya dkk 20.
Mlipanikisha mtoto wa watu tu.
Kwa vipimo vya rapid test kama vile bioline na un gold unatakiwa usome majibu ndani ya dakika 20 tu na si zaidi ya hapo! Na ni kawaida sana hasa kwa vipimo kama bioline ku react baada ya dk 20 kupita na kukupa false positive
kwa uhakika zaidi muulize mtoa huduma za afya aliyekupa vipimo hivyo,, naamini kama huwa anachunguza vipimo ambavyo vimetumika baada ya masaa kadhaa huwa anafahamu mabadiliko hayo!!!
 
Kwanza its wrong kupimana mkiwa lodge two amatures,pili there is a windiw petiod time,so no results is sure for that period,then sijajua alutumia bioline au unigold,coz u have to cross chake one to be sure,
All in all,5 to 20 minutes is a standard time,more than that,kuna mengi yatakayo jitokeza mkuu
 
Kwa hiyo test kit (bioline) unapaswa usome majibu kati ya dakika 10-20

mbali na hapo hayo majibu ni Inaccurate.

Sometimes ureact kwa bioline inaweza kuwa ni other STD's so unapaswa kucomfirm kwa UniGold, iwapo UniGold nayo ikasoma mistari miwili ama mitatu basi huyo mtu ni REACTIVE totally
 
Kitaalam inaitwa economic sanctions au vikwazo vya kiuchumi!!
Kuna mchepuko fulani ulikuwa unanitegemea Mimi 80% akaanza kuzingua,nikamuwekea Economic Sanctions mbona alikuwa mdogo kama piritoni. Na kama ningekuwa nakula ndogo ningemla wallah.
 
Hiyo kawaida, majibu hayatakiwi kukaa muda mrefu japo wengine hata yakikaa mwaka ni -ve tu
 
False positive results. Cross reactivity io inaweza kusababishwa na high sensitivity ya kifaa kilichotumika kwenye kipimo, ambapo kinaweza kureact na schistomiasis or trypanosomiasis. Na mara nyingi reaction hua inatokea kutokana na kipimo cha step ya 1 kinachotumika kwenye Nationa Algorithm e.g HIV bioline.
Now I know.Ila mkuu inawezekana hii ikatoa positive results kwa vipimo vyote viwili na vikawa vinekosea?
Nilipona pona mahala miaka kadhaa nyuma,nikapiga PEP na nikamuacha na mtu mwenyewe,japo alikua anajiamini mno kua yupo salama.nikasema mahaba ya hivyo mpenz mmmmhh
 
Angekua tayari kutoa ndogo ili amani itawale aiseee
Kuna mchepuko fulani ulikuwa unanitegemea Mimi 80% akaanza kuzingua,nikamuwekea Economic Sanctions mbona alikuwa mdogo kama piritoni. Na kama ningekuwa nakula ndogo ningemla wallah.
 
Dogo akagharamia kinoma kama Miezi miwili hivi akanionyesha Mtoto picha zake kwenye simu
Mtoto mweupe shep kama Beyonce
Siku anaenda onana nae usiku alikuwa kesha liwa kama Laki Mbili hivi
Akaambiwa kama hauna vipimo usije

Dogo anaendelea kuniambia:
Akapita Pharmacy akakutana na jamaa..wakapatana atoe ten atampa vipimo viwili kwa siri.

Akatoa akapewa...
Akasema kichwani"kwa yule mtoto mimi na pima potelea mbali ila ntamla kwa Mpira maana anaweza kuwa na maradhi Mengine.."

Kufika Room Demy swali la kwanza haya Pima baba.
Dogo akajitoboa akaweka damu kwenye kipimo....damu ikapita imbele ikatengeneza Mstari mmoja...

Dogo anaendelea nisimulia.

Dogo akamwambia Demy pima na wewe akajibiwa poa mm najiamini nipo safi....naogopa sindano.

Katika kushikana shikana vidole dogo alificha Sindano,akamtoboa kidole...D akakubali kuweka damu kwenye kidude then ...ikapita ikatoa mstari mmoja
Dogo akaweka kipimo cha Demy mezani wakati cha kwake kipo chini ya Kitanda.

Wakachojoa akavaa mpira wakala Mamboo...dogo anasema D alipomaliza yeye tu akaanza kuzingua kabla dogo hajamaliza wala hajakisi...Demy akamsukuma Dogo pembeni.

Dogo akamaind sana...D akasema nmechoka jamani we haumalizi..

Dogo hakusema ,akaingia kuoga akavaa
Akachukua saa mezani ana vaa anaona kile kipimo cha Demy kimetoa Mistari Miwili kwa Maana ya Positive

Akamwonyesha Demy mbona hivi??!
Demy akaanza kulia kelee mara akazima...
Saa sita Usiku
Simu ya dogo ina ita.
Kulikoni dogo
Akanisimulia...
Nikatinga hotelini..nikatumia Mbinu kumzindua mtu, tukafata kipimo kingine dogo akaweka tena Damu yake kikawa na mstari mmoja kile cha Mistari Mingine nikaficha.
akazinduka..akamvalisha...nikamwambia shem jaman utani mdogo tu unazimia...

'utani gani wakati nmeona mistari Miwili?!,'Demy akajibu

Nikamwambia hapana cheki!
akabaki anashangaa akasema lazima akacheki tena usiku huo huo hospital..mbona juzi tu amepima alikuwa pouwaa??!!

Nikawachukua kwenye Gari dogo akaelekeza tuka mdrop hom kwao nje...alikuwa anaishi na dada zake ambao dogo wala mimi hatuwajuhi.

Tukataka tuwaone Demy aka kataa,

Tukasepa
Baada ya Nusu saa Dogo anapigiwa simu:
Dada wa Demy hapa.
Uliwasiliana na Demy mara ya Mwisho nimeona no yako kwenye simu yake,analia sana, nini kimetokea?

Dogo akaeleza..
Dada akauliza'sasa niambie ukweli ni mzima ama??
.dada mtu amepaniki anasema kwa sauti kama anataka kulia,

',jamani huyu ndio mdogo wangu pekee hatuna baba wala mama jaman'
Dogo akanipa simu..
Nikampeti peti dada kuwa Demy n mzima kabisa..angalia simu yake alipopima awali dogo anasema alipga picha kipimo chake yupo pouwaa..
Dada akacheki akaona kweli akakata simu..

Aisee baada ya Sista kuelewa na kukata Simu dogo amezima simu yake na hajawasha tena ile line hadi leo Zimepita kama wiki mbili hivi

Amewasha simu amekuta meseji kibao za Demy kuwa 'amerudia kucheki yupo poa na amemtumia karatasi ikionyesha Negative..'

Dogo karudia kupima yupo pouwa...
Daktari anatuambia kile kipimo tulificha cha Demy ni kweli ni ishara ya Positive
MUNGU MKUBWA SANA
yani Mtu analazimimisha hakupi hadi Mkapime,mnaenda kupima anakutwa yeye kipimo anao

Kwa maelezo ya dogo ndani ya dakika tano Hadi kumki tangu kuweka damu kilikaa mstari mmoja, Demy akakipiga picha kwa simu kipimo kuwa yupo poiwa

wakafanya yao....kurudi baadae kimebadilika.

Wataalamu niambieni leo inachukua muda gani kipimo cha HIV Kuthibitisha Majibu yake??

Kipo kama kile cha kupima Mimba.

Maana baada ya nusu saa dogo ndio anasema kilitoka mstari mmoja kwenda mistari miwili

Wataalamu hii imekaaje?!

Sahivi kila jumapili dogo anaenda kanisani.
Kwa maelezo yako ni kweli demu ameathirika au ni makosa ya vipimo ?
 
Back
Top Bottom