Baby nimeshafika ninakusibiri

tehe tehe tehe tehe tehe tehe mbavu zangu mie,angeongeza na nywele zenye rangi ya moto,ni mjamzito?
 
Sorry baby nitakucheki baadae
 
Hayo ndo madhara ya kutongoza kwenye mtandao. Mfano huyo yuko jf ndo ushamtongoza mnakutana kwa mala kwanza kaja kasimama nje ya hoteli wewe ndandi na umemwambia niko hapo.
 
Ila kila mtu na kipenzi. Hapo kuna mtu kafa kabisa azungushi. Tehe teheee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…