swali langu ni hiviii, nini haswa kinachowasukuma watu kwenda na kurudi pale pale walipopakimbia over and over again? True love? Utegemezi/ utumwa wa kihisia? Uchanga kwenye swala zima la mapenzi? Kutokujitambua?
Inawezekana wawili hao wakawa wote hawajitambui? Kila mmoja akawa mtumwa/tegemezi kwa mwenzie kihisia kweli?
wewe hayo maisha ya watu yanakuhusu nini??na umiza kichwa utunge hicho kitabu chako sio kuunga unga sentensi za watu na pima akil yako utumbie ni futi ngapi?
Wasalaam jamani.
Kuna watu ambao mahusiano yao yametawaliwa na
"baby come back/baby please stay" miaka nenda rudi. Kuachana na kurudiana ni jambo la kawaida kwao maana kila mmoja anamjulia mwenzake. Akiondoka mama atabembelezwa atarudi, akitaka kuondoka baba atawekwa sawa ataahirisha. Haijalishi kama mmoja wao au wote wataamua kuanza mahusiano na mtu/watu wengine katika kipindi chao cha mpito, mwisho wa siku mmoja akimgeukia X(pired) wake wanarudiana upya tena jumla.
Nwy. . .swali langu ni hiviii, nini haswa kinachowasukuma watu kwenda na kurudi pale pale walipopakimbia over and over again? True love? Utegemezi/ utumwa wa kihisia? Uchanga kwenye swala zima la mapenzi? Kutokujitambua?
Inawezekana wawili hao wakawa wote hawajitambui? Kila mmoja akawa mtumwa/tegemezi kwa mwenzie kihisia kweli?
NB Missed you sana people. Wale wapenzi wa ZAWADI nipeni support bana, nataka nifanye kweli nitoe kitabu au hata filamu kabisa M'Mungu akijalia.
Mimi zaidi Mr RockyLizzy hata siredi yako siisomi kwanza
karibu sana aise we missed you a lot
Long time dear
karibu sana
Siredi yako nitasoma baadae
wewe hayo maisha ya watu yanakuhusu nini??na umiza kichwa utunge hicho kitabu chako sio kuunga unga sentensi za watu na pima akil yako utumbie ni futi ngapi?
True love!
HP nimekusoma, ila naomba kuuliza kwanini hutomkubali mtu aloenda na kurudi kwako? Na je kama unampenda sana bado utamkatalia?Nafikiri wengi wanaofanya hivyo wana hulka ya kufikiria kuwa hawa wanaoishi nao either wamepungukiwa kitu fulani au wameshindwa kuwavumilia kwa sababu fulani fulani na hivyo kufikiria kuacha mahusiano na kwenda kuanza maisha mengine na mtu mwingine. Mwisho wa siku wanakuja kugundua kuwa, yule wa mwanzo alikuwa na nafuu zaidi hata kuliko mpya na hivyo inamlazimu kurudi kwenye maskani yake ya mwanzo.
Haya ni matatizo ambayo huwapata watu ambao hawapendi kufikiria au kuvumilia changamoto za ndani ambao pia ni wepesi wa kurubuniwa na watu lakini wana mioyo iliyowazi kujutia makosa na kukumbuka walikotoka. Ila binafsi, mtu akinimwaga, akaanza uhusiano na mtu mwingine, akirudi kwangu abadani asilani, sintamkubali kamwe!
Hmmm. . .talking from experience?
HP nimekusoma, ila naomba kuuliza kwanini hutomkubali mtu aloenda na kurudi kwako? Na je kama unampenda sana bado utamkatalia?