Look my ignorant friend. The world to you seems mysterious but for all the wrong reasons. We understand the basic laws of physics and from that is derived the world as we see it. from Quarks, gluons, electrons, and other elementary particles the atoms are build and from them everything else. We know this for sure because we have seen it. We have proved the existence of these things. And the particles interact with the fundamental forces. What this man is suggesting makes him either an elect of God or a liar. I'll tell you why. You cannot claim that a chemical in a plant works only if administered by you. That is nonsense. It defies the laws that predicted black holes and make GPS systems work. Remember planes would not fly and land as they do nor would we be able to send probes to Mars if these laws where false. This man is simply chatting shit in all likelihood, alternatively he is an elect of God as I said. If you ask me, he is either delusional or....sijui. TIme will teLL.
Babu kweli ni mponyaji, angelikuwa tapeli watu wasingejazana hivi!
Anyone trained as a scientist who takes part in that experiment will be a joke. Haiwezekani, hii kitu ya watu kupona ni kitu kinaitwa placebo. Ukweli ni kwamba akili ya binadamu inauzwezo wakutoa nafuu pale ambapo imani inakuwepo kuwa mgonjwa atapona, kama ilivyo kwamba stress za ghafla ama mshtuko waki saikolojia unaweza kusababisha matatizo yakimwili kama kuzimia, presha ya damu kubadilika, kupata maambukizi ya magonjwa vizia. Haiwezekani kukawa na dawa ambayo ili ifnaya kazi lazima upewe na mtu fulani. Haiwezekani na hizi imani ni potofu na inadhihirisha jinsi gani watu wako tayari kuamini chochote pale ambapo hawana njia mbadala ya tiba inayotoa matumaini makubwa.
Ndani ya miezi kadhaa ukweli utajulikana na itakuwa vizuri sana kama dawa hii itakuwa kweli. Lakini kama mwanasayansi maarufu na shupavu marehemu Dr. Carl Sagan alivyosema:
'Extraordinary claims erquire extraordinary evidence.'
Kwahiyo kwa sasa the onus lies with babu na watetezi wake kuonyesha kuwa dawa hii inafanya kazi. kama serikali itajaribu kutatua utata huu itakuwa vyema sana ili ukweli ujulikane. Mimi nasimama upande unaosema kwamba hamna kitu kama dawa ambayo haizingatii uwezowake wa kikemikali bali unahitaji kono wa flani ili kufanya kazi. Hiyo inaingiza mjadala katika nyanja za 'frindge' ama vitu visivyofuata the physical laws of nature. Mpaka hapo watakapo onyesha ukweli kuwa kinyume na msimamo huu, hizi habari zinaleta mashaka sana...!!??
Bado sijaona mgonjwa wa ukimwi aliyetoa ushuhuda kwamba amepona.. hakuna kitu kama hicho... kuna hizi life style diseases kisukari, BP.. etcl.. herbs zina uwezo wa kutoa afadhali.. Lakini kwenye swala zima la HIV!! babu hapo anadanganya umati na bahati mbaya baadhi ya watu wanaamini just bcz he is a man of god na anadai ameoteshwa na mungu. wakati babu akiwa porini .. wana science wanashinda maabara na high definition microscopes learning/ trying how to interfere life cycle ya HIV .. babu yupo porini akiwa hana hili wala lile anaclaim anatibu HIV.. with unknown mechanism mbaya zaidi dawa haifanyi kazi hadi achote yeye mwenyewe.. hahahhaha