Babu zetu walikataa sisi tunachekelea

semako

Senior Member
Nov 10, 2011
102
6
Mwekezaji huyu Saza chunya ni kero,toka amefika hapa anapakia mchanga wa dhahabu na kuondoka nao,sasa yale mashimo tutafukia na nini mara madini yatakapoisha?wewe unaejiita diwani wananchi wako wananufaika vipi na mgodi huu uliopo kwenye kata yako.Diwani chukua hatua usiwe zoba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…