View attachment 100484
babu na akle wangu wakijianda kwenda kuchunga ngombe huku wamebeba fimbo zao za kuchungia.
wamepaka nini miguuni? wanaenda kuchunga au kuwinda? maana na mitutu
nmekupata mkuuKaka hiyo ni kwa ajili ya kuchungia, sisi kabila letu sio wawindaji, mapori ya kwetu hakuna wanyama pori zaidi ya fuko ( panya pori)