samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 217
namjua mmoja alikunywa na tumeshamzika
Tupo Samunge hapa washkaji wanasubiri kugonga kikombe kwa Babu,hawaruhusu kupiga picha,na kuna walinzi hapa.Nipo mitaa ya Samunge huku katika boma la mbwa mwitu (wild dog sanctuary)
Naona kuko kimya kabisa hatupishani hata na magari yanayoenda kwa babu.
mwenzenu Babu aliona staili pekee ya kutoka ni kuhusisha utapeli wake na imani ya kidini na hapo ndipo alipopiga bao,mimi namsapoti babu kwa kuweza kuwadanganya watanzania wenye elimu zao kurudi kwenye zama za stone ageMwaka jana kipindi kama hiki mjadala juu ya kikombe cha babu wa samunge ulitawala katika vyombo mbalimbali vya habari na maelfu ya watu kutoka ndani na nje ya nchi walifurika katika kijiji cha Samunge kupata kikombe. Hapa nchini watu wengi maarufu wakiwemo wanasiasa na watendaji wa serikali nao walipata kikombe. Ikiwa takriban mwaka mmoja umepita tangu kikombe cha babu kianze kutolewa tujadili success and failures za kikombe. Je kikombe bado kinapatikana kule samunge!??????