Babu wa kihuni na Nesi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Babu wa kihuni na Nesi.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Eghorohe, May 10, 2012.

 1. Eghorohe

  Eghorohe JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Babu wa kihuni alienda kituo cha afya kupima malaria na kichocho,nesi alimchoma sindano kidoleni kutoa damu ya kupima,damu haikutoka babu kamwambia nesi huwa nanyonywa ndo damu inatoka,unesi ni wito basi nesi kanyonya kidole hadi damu ikatoka wakapima malaria,lakini kipindi babu ananyonywa alisikia raha/utamu hadi akawa anafumbafumba macho anakatika kiuno,nesi akamwambia babu hujatulia! Babu kamjibu una mambo balaa! Baadae nesi kampatia babu kichupa aende huko uani alete mkojo wa kupima,babu alipofika huko akaita nesiiiii,nesi kaitika nini tena babu! Babu kajibu mkojo hautoki mbona? Nesi akamwuliza kwa hiyo sasa mimi nkusaidieje! Babu kajibu njoo ufanye vile umefanya damu ikatoka! :baby:
   
 2. MSOROPOGAS

  MSOROPOGAS Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  aaaah babuuuuuu.................
   
 3. N

  Nyuki baby Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Teeh!teeh! Mie simo nimepita tu
   
 4. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Lol, hii kali kwa kweli.
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Babu kijana.
   
 6. somba kankara

  somba kankara Member

  #6
  May 17, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  babu ni noma
   
 7. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Hii common sana ila umeiboresha kidogo ika pendeza pendeza.
   
Loading...