Babu Tale wa TipTop Connection adaiwa mchawi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Babu Tale wa TipTop Connection adaiwa mchawi!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Wambuzi, Dec 28, 2011.

 1. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Nasikia huyu boss wa Tip top connection ni mchawi balaa.... huwa anatembea na kibegi chake hivi hakiachi hata awe anaenda wapi..

  Jaribu kuchunguza hata wewe.. msanii yeyote atakayeingia tiptop na baadae kujitoa ndo unakuwa mwisho wa career yake, yaani lazima apotee hata kama atajitahidi vipi.. angalia MB DOGG, PNC, Z ANTO, PINGU, KEISHA na sasa KASSIM ambae ameondoka juzijuzi huyu bado anasikika kiaina ila inasemekana muda c mrefu atachuja.. chunguza
   
 2. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwahiyo?
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  kwahiyo uchawi dili
   
 4. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,532
  Likes Received: 5,681
  Trophy Points: 280
  wala si uchawi mkuu,kuna ka mtandao wametengeneza hawa wanyonyaji stelingi wao Ruge!
   
 5. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Hii ishu inahusiana sana na Ruge kuliko hata huo uchawi unaouongea.
   
 6. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Shindwa na ulegee :shock:
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  the guy is a good leader, good manager na good promoter... wakiondoka wanakua hawana guidance na sapoti... mziki wa bongo uko corrupt ndio maana siku hizi unamsikia tena J-moe msanii asiye na nyimbo mpya nzuri lakini his alliance na clouds inamnyanyua, same with sele au prof jay...

  babu anafanya kazi kwa niaba yao na hayo mavumba yote anamaliza yeye, sasa akina cassim wakitoka wanadhani ni rahisi... its like in soccer, kuna akina teves alfu lela u lela lakini hawana good agents... hebu jiulize mtu kama andy carrol liverpool anauzwa bilioni 70 na akina suarez wanauzwa bilioni arobaili

  it music (worldiwde) agents/managers/label and promoters are the game changers and the magic dealers

  cassim akirudi leo utaona anaibuka, kwani hata kazi yake inakua na better peer review from the whole tiptop

  btw z-anto, mb dogg, cassim sio watu wa kutisha sana but they are good in a certain evnvironment...

  unapomuona sugu pale alipo juat amepambana sana sana.... au angalia tu mtu kama necha (kuibuka kwake na kuzama kunategemea sana nani yupo nyuma yake
   
 8. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  kijana mdogooo! unakuwa na imani za kifala!!!
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kudos mkuu MTM...
   
 10. DavidHard

  DavidHard JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  ila kiukweli bab tale anakamtandao na redio ya wafu maana kila msanii anayejichomoa hata kama ni mkal vp lazma kwenye gam apotee.na mchango mkubwa wa kumpoteza hufanywa na hiyo redio
   
 11. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja.
   
 12. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Duuuh imani hizi bado zipo kumbe?????? sikutaraji kukuta mitazamo hii humu
   
 13. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #13
  Dec 29, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  babu tale na said fella wote si wachawi ila ruge anawatumia vizuri!
   
 14. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #14
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  great thinking....
   
 15. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #15
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Haya tena Dongo Janja ndo huyooooooooooooooooooooooooooooooooo..... sidhani kama atasikika tena.. yaani hili lijamaa hili.. mh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 16. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kutembea na kibegi ni uchawi?
   
 17. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Babu tale ni tawi la ruge.
   
 18. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Huyu Ruge na hiyo Radio yake ni Wasaliti wa kazi za Wasanii.
   
 19. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #19
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Naomba mwenye cv ya ruge aimwage hapa,maana nae analalamikiwa sana na wasanii!
   
Loading...