Bora hataWakati mwingine ni vyema kubaki kimya ili kuficha UPUMBAVU wako.
HaiweztokeaaaJe ikitokea watu hawa wawili wakashindwa kutimiza masharti au matarajio ya kutolewa nje ya kifungo cha maisha wanaweza kuridishwa jera na kuendelea kusota?
Bila Shaka Rais kuamua kuwasamehe kwa makosa yao ambayo hayakupaswa kusameheka ana sababu za kuamua kuwasamehe na pengine watakuwa chini ya uchunguzi kuona kama Nija, sababu, masharti na matarajio ya kuwatoa gerezani yanafuatwa na kutimilika
Je kujichora tatu mwilini zenye majina ya Rais wetu ndio lengo LA kuwaachia au wameanza kukiuka masharti ya kusamehewa?
Tusubiri tuone
Nawasilisha
Wewe ndiye papi kocha niniThread ya hovyo special kwa kufungulia mwaka
Mmmm!! Kweli eeeeeWana kinga ya rais, hata wakikiuka hamna shida
Mwenye akili atanielewa tuHaujaeleweka!😀
Hopelessness.Je ikitokea watu hawa wawili wakashindwa kutimiza masharti au matarajio ya kutolewa nje ya kifungo cha maisha wanaweza kuridishwa jera na kuendelea kusota?
Bila Shaka Rais kuamua kuwasamehe kwa makosa yao ambayo hayakupaswa kusameheka ana sababu za kuamua kuwasamehe na pengine watakuwa chini ya uchunguzi kuona kama Nija, sababu, masharti na matarajio ya kuwatoa gerezani yanafuatwa na kutimilika
Je kujichora tatu mwilini zenye majina ya Rais wetu ndio lengo LA kuwaachia au wameanza kukiuka masharti ya kusamehewa?
Bila shaka moja wapo ya masharti ni kuhakikisha wanaleta propaganda zitakazopelekea chama chetu kushinda, vinginevyo wanaweza kurudishwa mahala kwa kushindwa kazi
Tusubiri tuone
Nawasilisha
Bavicha mnahitaji "mental metanoia".Je ikitokea watu hawa wawili wakashindwa kutimiza masharti au matarajio ya kutolewa nje ya kifungo cha maisha wanaweza kuridishwa jera na kuendelea kusota?
Bila Shaka Rais kuamua kuwasamehe kwa makosa yao ambayo hayakupaswa kusameheka ana sababu za kuamua kuwasamehe na pengine watakuwa chini ya uchunguzi kuona kama Nija, sababu, masharti na matarajio ya kuwatoa gerezani yanafuatwa na kutimilika
Je kujichora tatu mwilini zenye majina ya Rais wetu ndio lengo LA kuwaachia au wameanza kukiuka masharti ya kusamehewa?
Bila shaka moja wapo ya masharti ni kuhakikisha wanaleta propaganda zitakazopelekea chama chetu kushinda, vinginevyo wanaweza kurudishwa mahala kwa kushindwa kazi
Tusubiri tuone
Nawasilisha
Hawajasamehewa makosa, wamesamehewa kifungo. Bado wana hatia ya kubaka. Wanatakiwa wasitende kosa tena la sivyo wakiendelea kubaka lupango inawangoja. Ila lazima walipe tu kwa kosa lao. Mungu yupo. Wale waliotendewa pamoja na wazazi waopamoja na wanaochukia vitendo vya ubakaji wanawake na watoto tumechukia na kusikitika sana na kulaani kitendo cha wabakaji watoto kuachiwa.Je ikitokea watu hawa wawili wakashindwa kutimiza masharti au matarajio ya kutolewa nje ya kifungo cha maisha wanaweza kuridishwa jera na kuendelea kusota?