Babu Seya atua Mahakama ya Afrika, Awasilisha hoja tatu

Hivi kuna watanzania wangapi jela??Kwanini kila siku ni hawa WAKONGO??Kwanini serikali ya Tanzania na KONGO Wasibadilishane wafungwa ili hawa wakafungiwe huko kwao.Hivi kama wakiachiwa wazazi wa wale watoto watajisikiaje??!Mimi ninawashauri watu kufanya kazi kwa juhudi na maarifa.Uganga haulipi
 
Hivi huyo ticha aliachiwa huru kwa vigezo vipi ilhali na yeye alikua mtuhumiwa mkuu!? Kuna kitu kimejificha....
 
kwa hiyo unakubali kwamba walipelekwa na wakafanyiwa hiko kitendo....

Mbona unatetea uchafu wewe .. Au ushaanza kuingiza siasa pia...?

ngoja uuone hiyo rufaa kama kweli walibaka wafungwe ili kama ni hila wataumbuka
 
Hivi kuna watanzania wangapi jela??Kwanini kila siku ni hawa WAKONGO??Kwanini serikali ya Tanzania na KONGO Wasibadilishane wafungwa ili hawa wakafungiwe huko kwao.Hivi kama wakiachiwa wazazi wa wale watoto watajisikiaje??!Mimi ninawashauri watu kufanya kazi kwa juhudi na maarifa.Uganga haulipi

...kwani wakongo ndio hawatakiwi kudai haki zao wanapoona hawajatendewa haki?! kama una ndugu zako huko jela wao wameridhika kukaa huko japo wanaona hawakutendewa haki,wacha waendelee kukaa, sio kupayuka tu kama zoba!
 
'Saliiima ooo salima uko wapii eeee'. samahani nimeukumbuka wimbo wao hadi machozi yamentoka daah! Kama kweli mlibaka na HII HUKUMU MUITUMIKEA MPAKA MWISHO BUT KAMA HAMKUFANYA HII DHAMBI MTALIPIWA HAPA HAPA DUNIANI. SIku hizi Mungu hacheleweshi aisee yaani kabla hujarudi kwake anakutia adabu hapa hapa duniani.
 
daaah kama kwel awakutenda kosa ilooo bc walio mfunga wote walaaniwe na MWENYENZI MUNGU

si wao tu
Hii dunia mbaya sana
kuna mama mmoja ni alikuwa waziri(TZ)
kamfunga kijana aliyekuwa anamchumbia binti yeke.
Basi chuki tu huyo mama hakumpenda huyo kijana wa kimaskini
 
Nina mwaka sasa kila nikiomba nipigiwe ile rekodi ya Salima vituo vyote vya redio havitaki kuupiga huu wimbo na sijui kwanini!
 
kwa nini wasiombe ubalozi au serikali ya drc iwasaidie kama wanahitaji msaada wa kisheria?napata wasiwasi kwa nini hawashirikishi ubalozi au serikali yao kuomba msaada wowote
 
Nadhani hawa watu walionewa ndiyo maana wanahangaika kuitafuta haki.

Kama ingekuwa kweli walitenda, wangekuwa walisha kata tamaa siku nyingi.
 
Makosa makubwa. Huyu mtu ni shetani. Lowassa alitaka mtu huyu aachiwe huru. Lakini akasemwa,akabadili mawazo yake. Huyu aombe msamaha. Lakini akisema hajafanya kosa hilo ni tatizo. Walifika Msasani siku moja nduguze kumuona Makongoro awasaidie.Mimi niliwaona wakati wanaondoka. Nikauliza wale ni akina nani na wana shida gani? Nliipoambiwa baadaye nikatoka kwenda kuwatafuta lakini walikuwa wsmeshatoweka.
 
Hawa si ndio mmoja alikuwa anakula chombo cha wajuujuu? Nilisikia habari zamani.
 
Hiyo mahakama haina mamlaka yoyote dhidi ya mahakama ya rufaa sana sana ni kutoa ushauri tu. Hata hivyo hii kesi ni kweli watoto wale waliumizwa sana ndio maana TAMWA akina Ananilea Nkya walisimama kidete kupata conviction kwa akina babu Seya ambao ni kweli wamewaharibu wale watoto.

una uhakika au ulisimuliwa?
 
Wale watoto hawakubakwa na wala hawakulawitiwa, hilo liko wazi, waliombwa wakachunguzwe na maDr kwa uwazi wakagoma kwenda. ile kesi ni ya kutengeneza.
na kwa vile aliemtengenezea kesi keshamaliza adhima yake ya uongozi wataachiwa huru subirini,
Mbona kilichomuweka jela babu seya kiko wazi tu. cha msingi ni kuwa hata ukiona mke wa mtu ana ugomvi mkubwa na mumewe usimsogelee, yatakukuta ya babu seya, utatengenezewa kesi ushangae,
mahakama zetu hazikubari ushahidi wa video ila kwa kesi ile ushahidi wa video ulitumika...hapo ndo mshangae.
shetani nipishe mie niende zangu kwa amani..
 
ukitaka ujue mahakama zetu si huru angalia kesi ya mita200 kesi imerushwa mpaka ijumaa jioni hukumu ndio yatoka nawakati ililetwa na hati yadharura ilitakiwa iwe fasta. babu seya wanamuonea watoto walitoa ushahidi wameliwa na familia nzima mbona wamewatoa wawili? ushahidi was mangi mbona hakimu alikataa
kulikuwa na mengi ya kushughukulikia tofauti na hiyo makitu....mawakala wanafanya nini vituoni?
nisimame uwajani kusikiliza sera zenu.
nipange foleni kujiandikisha kupiga kura.
nipange foleni ya kupiga kura.
halafu nikae tena foleni ya kulinda kura..jaman
 
kwa hiyo unakubali kwamba walipelekwa na wakafanyiwa hiko kitendo....

Mbona unatetea uchafu wewe .. Au ushaanza kuingiza siasa pia...?
Nilivyomuelewa ni kwamba anauliza kama ni kweli iweje yule mwalimu aliyedaiwa kupeleka watoto asiadhibiwe? Na yuko wapi huyo mwalimu? Alifukuzwa kazi au la?

Hamna mtu anayetaka kitu kama hicho kitokee kwa mwanawe na hata kwake mwenyewe lakini serikali ya Kikwete ilihalalisha tabia hii. Na matusi na matamshi na vijembe vyenye mwelekeo wa kingono vyote hivyo vilikuwa ruksa. Kama unabisha zunguka hasa mashuleni, makanisa na misikitini usikie watoto watakavyosimulia yanayowakuta mpaka majumbani kwao. Usijifanye unachefuka kwa mtu kuhoji kitu cha msingi. Chefuka na tabia za wanaume wakitanzania kuendekeza tabia na matamanio ya ajabu ajabu mpaka kumuamini baba mzazi wa mtoto inakuwa ngumu. Hata wake zao wanawalazimishe kinyume cha maumbile. Wanaume wengi watanzania mmekuwa wa hovyo kabisa na tena washenzi (my apologies nilikosa neno jingine mbadala).
 
...kwani wakongo ndio hawatakiwi kudai haki zao wanapoona hawajatendewa haki?! kama una ndugu zako huko jela wao wameridhika kukaa huko japo wanaona hawakutendewa haki,wacha waendelee kukaa, sio kupayuka tu kama zoba!
SMAANISHI HAWATAKIWI KUDAI HAKI ZAO.ILA NINACHOSHANGAA NI MIBONGO AKILI NDOGO INAONA KAMA HAWA WATU NI MITUME VILE.WENGINE NI AGENDA ZAO KISIASA.
 
Back
Top Bottom