Watanzania huwa hatutaki kuipa akili yetu muda wa kutafakari au kushauriwa pale unapokuwa na tatizo na akaibuka msanii wa kutake advantage ya mataizo yako kukuibia.wagonjwa wamekuwa mitaji ya matapeli hapa bongo kwa muda mrefu.kuna waganga wa jadi wale asilia kabisa ambao hata wenye vyombo vya habari wanaruhusu matangazo hayo ya kitapeli kutolewa ili hali wakijua kuwa wataalamu wa afya duniani na nchini wametangaza kuwa hakuna tiba ya magonjwa husika hapa uzalendo=0 tamaa ya fedha mbele.wengine ni hawa waganga wapya wa kienyeji waliojificha makamnisani kwa kujiita majina makubwa ya kiimani.hawa kuna wanaotengeneza miti shamba live lakini wengine wanajifanya wanaombea wotu kitu kimoja watz tuwe makini.watu walipiga kelele kweli nje na ndani ya tz kuhusu ule utapeli wa babu lakina nani alisikia ?majibu yalikuwa makali sana humu jf kwa waliompinga babu.idadi uliyoiona ikienda kwa babu kwa uwazi ni sehemu ndogo tuu ya watanzania wanaoenda kwa waganga wa kienyeji kwa kificho.tubadilike.rejeeni taarifa za new york times na bbc kuhusu tiba ya babu.