babu kutoka sitimbi

babu kutoka sitimbi

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
1,466
Reaction score
1,235
Babu kaenda kumtembelea mwanawe.kufika,akapewa vyakula vingi sana.akala akashiba kwelikweli.akamwambia mwanawe, "dah,nimeshiba kweli!"mwanawe akamwambia, "haya basi,wacha nikuletee TISHU."babu akateta, "mwanangu,unataka nife.Eka iyo TISHU ntakula kesho!"
 
Back
Top Bottom