Babu Duni: Kikwete anachekacheka, Magufuli anashangaa

ndio maana mnaitwa nyumbu.

Hivi unajua Mama ameakuwa mwanachama wa CCM toka lini?

Kwahiyo?. Ndo maana amekuwa alivyo. Ni matokeo ya Mfumo wa Chama chake. Huna tofauti na mtu anayesema amekomaa kiroho eti kwa kuwa amekuwa kwenye Dini yake tangu utoto!
 
Mzee Mkapa aliona mbali sana, nyie ni zaidi ya Malofa.
 
Back
Top Bottom