"babu atoa kali ya mwaka"

stata mzuka

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2012
Posts
4,834
Reaction score
1,765
Babu m1 aliibiwa hela yake kwenye daladala na kuanza kusema.."Jaman alienichukulia hela yangu anirudishie tu mwenyewe nicje fanya km nilichofanya mwaka1976" jamaa aliechukua hela akaogopa na kumrudishia na kumuuliza kwani ulifanyaje mwaka huo? Babu akasema"We acha tu mjukuu wng nilitembea kwa miguu toka Mbagala hadi Tegeta"
 
Enzi hizo mbona ni pori na Simba walikuwepo huyo babu muongo... kwani kutoka mbagala tu asingefika hata mtongani angekwisha liwa na kubakizwa Nywele za kwapa ambazo Simba huwa hazili zinanuka
 
Hata akikopy si mbaya sifa ya fasihi ni ukongwe sasa isipohifadhiwa ukongwe utatoka wp?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
sa kama mnajua nyie ndo wote wameshawahi kuzisikia.....
kali mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…