KakaKiiza Platinum Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,952 Reaction score 9,469 Feb 3, 2014 #61 Asprin said: Mimi ndo hospitali. kam zis wei PM pliiz... Click to expand... Bazazi@ work!
Mtambuzi Platinum Member Joined Oct 29, 2008 Posts 8,809 Reaction score 15,443 Feb 3, 2014 #62 Zinduna said: Babu Asprin leo nimekubamba au sijakubambaaaaaaa Bado nasubiria majibu yangu ya ukaguzi, laiti ungelijua nilikufotoa picha Ha ha ha ha haaaaa, hata hivyo ahsante kwa soda mwaya Click to expand... Mkuu Asprin hiyo unayokunywa ni Coca Cola au Fanta CC: Zinduna Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Zinduna said: Babu Asprin leo nimekubamba au sijakubambaaaaaaa Bado nasubiria majibu yangu ya ukaguzi, laiti ungelijua nilikufotoa picha Ha ha ha ha haaaaa, hata hivyo ahsante kwa soda mwaya Click to expand... Mkuu Asprin hiyo unayokunywa ni Coca Cola au Fanta CC: Zinduna
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Feb 3, 2014 #63 yani wewe maneno gani tena hayo yakutokayo? Asprin said: Mimi ndo hospitali. kam zis wei PM pliiz... Click to expand...
yani wewe maneno gani tena hayo yakutokayo? Asprin said: Mimi ndo hospitali. kam zis wei PM pliiz... Click to expand...
JiweLinaloishi JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 3,737 Reaction score 2,139 Feb 5, 2014 #64 King'asti said: Kuna kitu unanyimwa hapo best. Stukaaa! Shkamoo yote hiyo kwa uzee gani ulio nnao? Click to expand... shikamoo mwisho kibaha, uzee chalinze... haya mambo ya kufukuziana vindege siyo fresh ndio maana mi wakiniamkia naitikia poa hujambooo!!:A S 13:
King'asti said: Kuna kitu unanyimwa hapo best. Stukaaa! Shkamoo yote hiyo kwa uzee gani ulio nnao? Click to expand... shikamoo mwisho kibaha, uzee chalinze... haya mambo ya kufukuziana vindege siyo fresh ndio maana mi wakiniamkia naitikia poa hujambooo!!:A S 13:
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,487 Reaction score 96,981 Feb 5, 2014 #65 Jiwe Linaloishi said: shikamoo mwisho kibaha, uzee chalinze... haya mambo ya kufukuziana vindege siyo fresh ndio maana mi wakiniamkia naitikia poa hujambooo!!:A S 13: Click to expand... Wananiharibia tu hao mkuu. Ahsante kwa ufafanuzi, ntakugawia kajukuu kamoja uzunguruke nako.
Jiwe Linaloishi said: shikamoo mwisho kibaha, uzee chalinze... haya mambo ya kufukuziana vindege siyo fresh ndio maana mi wakiniamkia naitikia poa hujambooo!!:A S 13: Click to expand... Wananiharibia tu hao mkuu. Ahsante kwa ufafanuzi, ntakugawia kajukuu kamoja uzunguruke nako.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,898 Reaction score 55,865 Feb 5, 2014 #66 Ukiwa mkubwa rahaaa
JiweLinaloishi JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 3,737 Reaction score 2,139 Feb 6, 2014 #67 Asprin said: Wananiharibia tu hao mkuu. Ahsante kwa ufafanuzi, ntakugawia kajukuu kamoja uzunguruke nako. Click to expand... Tawile mkuuu:dance::dance::dance:
Asprin said: Wananiharibia tu hao mkuu. Ahsante kwa ufafanuzi, ntakugawia kajukuu kamoja uzunguruke nako. Click to expand... Tawile mkuuu:dance::dance::dance: