Utasubiri sana
Kuna kitu unanyimwa hapo best. Stukaaa! Shkamoo yote hiyo kwa uzee gani ulio nnao?
Haaa umenikumbusha
kuna mzee akiamkiwa na binti anamjibu
"shikamoo unataka kuninyima nini"
Dar mzee niko peke yangu. Wazee wenzangu uzee wameupaki Chalinze pale.
Duhhhh babu Asprin ungejua unavyolalamikiwa na vijana humu JF kuwa mnapigana sana vikumbo kugombea visura,wakati bibi tunamfahamu!
Wananipakazia bana. Umri huu huwezi amini mpaka baioloji isimame ni lazima kwanza niangalie porn. Tena imefikia mpaka nione zile za kutumia line ya 0713. Na ikisimama jinsia pinzani ìsichelewe kutumbukizamo vinginevyo akichelewa ikalala, ujue haitasimama tena mpaka baada ya mwezi mmoja.
Duhhh kama ni hivyo pole sana,itabidi uwe unatembea na stuli,ikisimama unaiwekea stuli kuiegemeza ili isilale!Hahaaaaaa,babu nilijua wewe hiyo misamiati ya hiyo mitandao hujaijua,kumbe wajukuu washakufundisha?Maana bibi najua atakuwa hajui!
Wananipakazia bana. Umri huu
huwezi amini mpaka baioloji isimame ni lazima kwanza niangalie porn.
Tena imefikia mpaka nione zile za kutumia line ya 0713. Na ikisimama
jinsia pinzani ìsichelewe kutumbukizamo vinginevyo akichelewa ikalala,
ujue haitasimama tena mpaka baada ya mwezi mmoja.
walo kuita bazazi hawajakosea kabisa maana mzee weye ushakuwa majununi laanakum
halafu yule mhudumu niliona alikupa bili yenye namba ya simu halafu ukaificha mfukoni wewe mzee hujatulia hata kidogo
Ha ha ha ha ha haaaaaa
PM nimezi block kitambo sitaki kero miye. vipi uko pale pale au facebook mikufuate usijeandika na mate bure wakati wino upo
Mpwa kwema???